sina simuSmile naomba namba yako basi unajua nimekumiss sana
sina simu
Vp anakuomba namba huyo? Labda ana deal la madolari anataka mpige
NAdhani ungeanza kujiheshimu wewe unaesalaimi mwanamke usiemjua na lazima macho yako yanacheza cheza unapompa chabo! na hilo nalo ukome ukamae mwanamme ! usipende kutukana wanawake bila sababu na sema baadhi, sio wanawake wote, BADILI TABIA WEWE KWANZA ...ujue ukimNYOOSHEA MTU KIDOLE WEWE VYAKUGEUKIA VINNE...na istoshe ukila kuku wa mwenzio miguu inakugeukia ...
km ukia plly iyo methali so to say WANAUME WOTE MASHOGA?
CZ KUNA SHOGA MMOJA MTAANI KWETU SO NIWAONE WANAUME WOTE MABWABWA?
plsss doooooooooont use t..:wave:
Njoo nikupe radio call si inakufaa?
jiheshimuni na nyinyi pia.kila siku wadada wadada utafikiri huo uzinzi wanafanya peke yao!! acheni hizo!!Ukitaka mwanamke siku hizi ni wengi nabidhaa ipo kila sehemu wa buree kabisa
ama bei sawa na bure kama vile bidhaa ya maji ya kunywa katika jiji la Dar!
anaezifuata hizo bidhaa ni nani kama sio nyie? nyie wenyewe ndio bidhaa isiyokosekana sokoni na inajitembeza yenyewe.
Ukimsalimia tu kalainika, contacts anatoa utadhani anakujua maisha yake yote hadi wanatia aibu.
ulitaka ukimsalimia afanyeje?wewe ukimsalimia unategemea nini?wewe mwenyewe unasalimia kwa kulainika. na hizo contacts anakupa bila kuomba? kama hujaomba lazima uchukue ukipewa? wewe hujioni na wewe ni bidhaa??
Kule fb ndio balaa kabisa. Pale kidume ukijipanga ukaweka mark ya wanawake wa
kulala nao hata kama mark yako ni 25 within a month malengo yako yanatimia. Mnaonana kwa mara ya kwanza na kumramba hapo hapo.
ehe hiyo mark unayoweka wewe huhusiki au analala peke yake? umemtumia au mmetumiana?yeye akikuona kwa mara ya kwanza wewe inakua ni ya pili au? na hapo bado unamuona mwenzio pekee ndio bidhaa??
Akina dada
badilikeni, mjithamin utu na heshima zenu!
Then mnakuja na lawama kibao kwa akina sie za
kutendwa na vilio kibao. Jiheshimuni tutawaheshim pia.
we umeona mwanamume shoga mmoja sisi tumeona wanawake wengi, muwe munaelewa msiwe wabishi bila tija. wanawake wamekuwa uji sana hata we mwenyewe hapo ukute ndo walewale. Wanawake wote ni sawa awe amesoma hajasoma wote huwezi tofautisha mnagawa sana mi nshatembea na wanne hadi sasa toka facebook. Tena huenda na wewe unaweza ukawa mojawapo
dada labda sina bahati, walionizunguka naona kama wote vimeo!
Ni nadra sana naona mwanamke mwenye heshima zake.
Kama kuna mtu haamini kuwa wanawake wanajirahisi mno nenda pale hostel ya ustawi wa jamii kuna kihosteli flani kipo karibu na hongera baa kuna ka baa kamoja embu kaa pale nusu saa uone uchafu unaofanywa na wasomi wale yaani utachoka
wenye heshima zao wanafuata wenye heshima zao pia.ukiwa kimeo utazungukwa na vimeo pia.
we umeona mwanamume shoga mmoja sisi tumeona wanawake wengi, muwe munaelewa msiwe wabishi bila tija. wanawake wamekuwa uji sana hata we mwenyewe hapo ukute ndo walewale. Wanawake wote ni sawa awe amesoma hajasoma wote huwezi tofautisha mnagawa sana mi nshatembea na wanne hadi sasa
toka facebook. Tena huenda na wewe unaweza ukawa mojawapo
we umeona mwanamume shoga mmoja sisi tumeona wanawake wengi, muwe munaelewa msiwe wabishi bila tija. wanawake wamekuwa uji sana hata we mwenyewe hapo ukute ndo walewale. Wanawake wote ni sawa awe amesoma hajasoma wote huwezi tofautisha mnagawa sana mi nshatembea na wanne hadi sasa toka
facebook. Tena huenda na wewe unaweza ukawa mojawapo
Ukitaka mwanamke siku hizi ni wengi nabidhaa ipo kila sehemu wa buree kabisa
ama bei sawa na bure kama vile bidhaa ya maji ya kunywa katika jiji la Dar!
Ukimsalimia tu kalainika, contacts anatoa utadhani anakujua maisha yake yote hadi wanatia aibu.
Kule fb ndio balaa kabisa. Pale kidume ukijipanga ukaweka mark ya wanawake wa kulala nao hata
kama mark yako ni 25 within a month
malengo yako yanatimia. Mnaonana kwa mara ya kwanza na kumramba hapo hapo. Akina dada
badilikeni, mjithamin utu na heshima zenu!
Then mnakuja na lawama kibao kwa akina sie za
kutendwa na vilio kibao. Jiheshimuni tutawaheshim pia.
Mnaonana kwa mara ya kwanza na kumramba hapo hapo
nidai pipi,
yeye anayeomba namba kwa kila paka anayelia nyau hajion km ana pbm...anaona pbm kwa yule anayempa namba pale anapomwomba...so okwad:angel: