Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu


Nadhani wanaume wakibadilika hata wanawake watabadilika kwani kuwa na wanawake wengi ndo sifa kwako.kumlamba siku ya kwanza hii inaonesha mwanaume hasiye mstaarabu kicheche wa ajabu badilikeni nanyi pia UKIMWI uingiapo hauchagui
 
Pesa imekuwa ngumu kuipata na uchumi wanao kwa nn wasitumie?
 
dada zetu badilikeni kweli haya yamenikuta hata mimi ni aibu sana
 
Labda kama lesbians wamekuwa wengi, ila kama wanafanya na wanamme, ngoma droo.

Tena wanamme ndo mbaya zaidi maana anamuona mtu kwa sekunde 0 na kum-approach.

Na mwisho wa siku ndo matumizi ya k, vinginevyo itapotea kama mkia wa binadamu.
 

pia uwaase na kina kaka wanaojiliza na kujikomba kwa kina dada kila siku haweshi kujirahisisha.
 
Kama kuna mtu haamini kuwa wanawake wanajirahisi mno nenda pale hostel ya ustawi wa jamii kuna kihosteli flani kipo karibu na hongera baa kuna ka baa kamoja embu kaa pale nusu saa uone uchafu unaofanywa na wasomi wale yaani utachoka


Sitetei uchafu, lakini naamini huo uchafu wanaofanya huwa wanafanya wa wanaume kwahiyo wote wameharibika si ke wala me!
 
dada labda sina bahati, walionizunguka naona kama wote vimeo!
Ni nadra sana naona mwanamke mwenye heshima zake.

Basi huna bahati kaka. Lakini na wewe jiulize,unakutanaje na wasichana wa namna moja tu? Isije ikawa mna tabia zinazofanana! Maana birds of the same feathers..........
 

Sasa wewe na hao wanawake uliotembea nao mnatofauti gani??? ama kweli mwelevu na mpumbavu utamtambua kwa maneno yake
 
Nimesoma hii thread kwa makini na nikagunduwa kitu kimoja kwamba, mtoa mada huenda hana Exposure yaani nina maana hajazungukazunguka hii dunia na hasa ukanda wetu wa SADC.

Sex siyo kitu issue kivile kama yeye alivyozea au anavyotaka watu waamini, anashangaa kumu aproach msichana siku moja na kufanya naye sex, je ingekuwaje kama yeye angekuwa ameshawahi kutongozwa na msichana na msicha kugharamia pesa ya Hotel?

Kuhusu kujisifu kuwa na watoto wa kiume, through my experince na nikiwa kama mzazi sasa hivi watoto wa kike ndio msaada mkubwa kwa Familia zao, maana hata ukiwa na mtoto wa kiume mara nyingi anapenda kujipendekeza ukweni na kwa mashemeji ili kujenga heshima ukweni, all in all watoto wa kike ndio bora kwa sasa kuliko wa kiume. utaki unaacha.
 
Mkuu unataka kusema ni rahisi kama mbolea ya Ruzuku,najua wadada si wote lakini ushauri murua kabisa. Ila yupo mmoja pale Mtwara ama kwa hakika ni kama mbuzi asiye na mwenyewe,ndugu wanamhangaikia lakini anadhani K itamsaidia. Yuko TPS masomo hayawezi lakini kugawa namba yuko haraka sana. Ila hawa ni mama zetu pia ushauri mzuri watazingatia wenye tabia kama hizo.
 
Labda kama lesbians wamekuwa wengi, ila kama wanafanya na wanamme, ngoma droo.

Tena wanamme ndo mbaya zaidi maana anamuona mtu kwa sekunde 0 na kum-approach.

Na mwisho wa siku ndo matumizi ya k, vinginevyo itapotea kama mkia wa binadamu.
Nakusikiliza tu.
Kitu gani kitapotea?
 
Ahsante sana mkuu.
Honestly,napendekeza mchango wako huu uwe post of the year.
 
kama wanawake haohao watataka kukutia gharama hapo sidhani kama wanajirahisi,hao ni wafanyabiashara.
 

Naona siku hizi ni biashara tu from both ends. Kidume kisokuwa na kitu hakione po pote, msichana anaangalia fedha tu ni ngapi atakuchuna.
 
Kama unaishi uswahili sana lazima mademu wanaokuzunguka wako hivyo na kama viwanjavyako ni vile vya bei ndogo au kitaa tunaita vya watoto wa mbwa basi lazima useme uwaonao wako so cheap. Wako mademu wanaojiheshimu kinoma na wako so expensive na wanacheza mbali na viwanja vya watoto wa mbwa. So ni baadhi ya mademu ndo rahisi na ndo hao wakuzungukao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…