Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

Wakaka mtalalamika sana mpaka meno yawaishe.....but hii tabia haiishi ng'ooo na itazidi kukua kadri siku zinavyoongezeka na bahati mbaya saaana walengwa hawaoni hasara!! Kama unapenda afya yako na familia yako, kaa kando vinginevyo mtajalalamika ilhali safari ya kufupisha maisha yenu ishawadia!!!! Na mtatuharibia familia kwa machongo yenu hayo yasiyotazama, baba unaukwaa then unamwambukiza mkeo hadi katoto (kama kananyonya) bila kujua........na mwisho wa siku ndo utajasimulia je ni mdada anaelazimika kuavoid kichefuchefu au wewe kulinda afya yako????????
 

Hili nalo neno.
 
Wadada fanyeni kazi kwa bidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…