DADA ZETU HAWAVAI NGUO ZA NDANI...?!

DADA ZETU HAWAVAI NGUO ZA NDANI...?!

KABIDO

Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
74
Reaction score
117
Nimefanya uchunguzi sana tu kwa
dada zangu kupitia picha zanu za #fb na [HASHTAG]#insta[/HASHTAG], nimegundua kuwa hamvai kabisa nguo za ndani, hebu vaeni na
nguo za ndani basi,
yaan wote mnavaa za italy, canada,
china na nchi zingine huko,, hebu
vaeni na za ndani ya nchi yetu kama
vile BATIKI, VITENGE na zinginezo ilikukuza uchumi wa taifa letu,,!! #usiludie_kosa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] m nkajua bas ni zile za ndan kabsaa,, daaaah umeniwezaa!!!
 
Yaani ilibaki kidogo nimtag Miss Natafuta hahahahahahahaha kumbe sio!!!!!
 
Noma sana [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Nimefanya uchunguzi sana tu kwa
dada zangu kupitia picha zanu za #fb na [HASHTAG]#insta[/HASHTAG], nimegundua kuwa hamvai kabisa nguo za ndani, hebu vaeni na
nguo za ndani basi,
yaan wote mnavaa za italy, canada,
china na nchi zingine huko,, hebu
vaeni na za ndani ya nchi yetu kama
vile BATIKI, VITENGE na zinginezo ilikukuza uchumi wa taifa letu,,!! #usiludie_kosa
Global publisher
 
Senge!! [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom