Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Nikiwa Nasoma South Africa miaka ya 200x nilishangaa kuona Leseni za Madereva wa Magari kuna Sehemu unakubali kuwa iwapo utakufa kwenye ajali Viungo vyako gani unavotoa ili kusaidia wagonjwa wenye huitaji hii ikiwemo maini na figo. Mbali na south Africa kuna nchi kama Canada pia zina hiyo system. Figo ya Binadamu inaweza kaa mpaka masaa 24 bila kuharibika na ikaweza wekewea mtu mwingine. kuna njia mbili za Kisayansi za Kuifadhi na kusafirisha figo za Binadamu hapa kuna picha ya kifaa na leseni ya mtu aliekubali toa viungo akipata ajali







 
Watu professional au wew unasema watu wenye Hela???? Kuna msemo unasemaga hela sio kila kitu ndo hapa sasa... Hapa ni ushirikina tu hakuna cha maana
Labda ulimnunulia ila hayakuwa makubaliano akupe mwili wake, ulifanya kama msaada tu. Usimlaumu, siku nyingine jifunze kuwa muwazi na 'clear and short'

hapana mkuu tulikubaliana na bei ya mali zake, akaomba apige vyombo, sikuwa na hiyana nikamruhusu apige vyombo tani yake ( mpunga mrefu ukanitoka,siri yangu) then akatangaza sound za njaa sikuwa na hiyana akaagizwa kwio mzima....mama tuondoke ooooh ngoja kidogo mama twende oooh ngoja kidogo, imefika mida mikali naambiwa nakuja babe...sikuwa nahiyana kumbe ndio naachwa....halafu nakutana naye hayo maeneo kama hanijui vile hata salamu..hahahahaha.....sasa huoni hapa amenifikisha kiwango cha juu cha tolerance yangu...halafu ananilia buyu....
 
Kakaa huyo Ungemfanyiziaaa...
 
Nzuri mzee hapo sasa sawa imekaa kitaalamu sana mazingira sahihi haya
 
Pole sana kaka, nimekuita mshamba hapo juu ila nisamehe. Nakiri ningekuwa mimi ningeshindwa kuvumilia kabisa, huu ni ungese.
 
Watu wanaleta story za kijiweni hapa. Wanafikiri kupandikiza figo ni kutumbua jipu. Ni wa kuhurumiwa. Hawajui wasemalo!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kijana Kupandikiza Figo tanzania tu Madoctor wa Bongo wana assist aisee hakuna kitu wanafanya wenyewe... wale wazungu wasipokuja process haiendi
 
Haujui unachoongea. Figo ya mtu kuwekewa siyo kama unavyotoa ya mbuzi ya kwenda kupika. Ndugu zake wamesema hakufia guest wala hajatolewa figo. Nyie mmekazania figo figo... Mnapenda sana umbea.
Na wewe tutakuamini vip hayo mambo hata movie nyingi wanaonyeshe uhusika wa izo biashara wacha kuleta ujuaji watu wanauza kama kawaida
ivyo viungo vinauzwa kama kawaida tu kama nguo kikimatch na muhitaji anauziwa mbona damu tunatoa random zinahifahdiwa katika blood's bank kutokana na kundi husika ili lilikifafana muhitaji apapewq huduma

ki bongo ni ngumu nenda nje kama thailand kuna kisiwa watu wanauza kabisa na zinapelekwa huko europe kutoka thailand au iran mpaka europe ebu fuatilia wacha kukaza kichwa

mlaumu mtoa uzi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Na wewe umekua kama wale watoto eeeh?

Nimetamani jamani. Umenitia hamu ya kwenda Cape Town yani [emoji19][emoji19]
Tafuta muda uje twende na J.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Na wewe umekua kama wale watoto eeeh?

Nimetamani jamani. Umenitia hamu ya kwenda Cape Town yani [emoji19][emoji19]

kuwa makini na figo yako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…