Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Kuna midubwana fulani hivi humu nchini.[emoji2][emoji2]
Wewe ni mmoja wao, jabali la karne[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo I'd si ya kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli na mimi nilikuwepo msibani. Ila kuna baadhi ya habar kaficha ila yote aliyosema ni kweli. Kiukweli wote tunazaa na hatupaswi kumlaumu huyu dada kwa lolote kikubwa tujitahd kuwekeza kwaajili ya watoto kiroho na kimwili na tuwaombee sana watoto wetu. Kila mtu hapa ana majanga yake. Wengine tungeweza kufia gest na michepuko lakin Mungu ametupa nafasi tutubu. Ukimuona mwenzio kakutana na hili ni suala la kujitafakar na kutubu na sio kuwaona kama wakosaji sana.
Ukweli ni UPI mkuu ? Dadavua
 
Hapa ni wadada kuwa makini na hawa wanaowaita madaga ,MTU umekutana nae bar au club ,anakupa vinywaji unabugia bila shida ,anakuomba utumie nae usiku huo unakubal ,ukicheki nje kapark range rover na namba bandia ankutoa pale umelewa anakuepeleka polini wanakuua na kuondoka na viungo

Tuwaombee sanaa Dada zetu maana wakikutana na madanga ya hivyo akili zao zinakaa kipigaji pigaji mwisho wa siku majanga kama haya

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
kwa kweli wanawake wadangaji ni risk takers mbaya kabisa. Siku moja nikawa club,mtoto mzuri meza ya jirani nikamwita tukae wote. Saa 6 nikaondoka naye. Namuhoji amewezaje kuwa tayari kulala na mtu hamjui hata jina wala chochote. Anasema yote namwachia Mungu
Ulifukua mtaro ??mkuu???
 
Tatizo lako umeamua kubisha tu….hakuna sehemu nimesema kufanya hivyo ni rahisi.ni ngumu lakini kama ukijipanga kukabiliana na ugumu haitokua ngumu kwasababu utakua umejipanga tayari…by the way zipo scientific equipments za kuhifadhia viungo tafuta utaona usibishe kila kitu boss…kwamba unataka kuniambia hua huangalii hata movies boss….so far hakuna sehemu nimesema figo za huyo binti zimeenda kupandikizwa lakini kama lengo lilikua ni kupandikiza basi tambua hakuna lishindikanalo.
Sasa walijuaje kama huyo dada figo zake zina ubora. Na je walijuaje kama figo za huyo dada zinaendana na mgonjwa wao? Ukitafuta figo lazima upate donor mnayeendana vinginevyo haiwezekani.
 
Na kuendana ni vitu vingi lasivyo Mwili unareject mapema tu..
Watu wanazani ni kuchukua tu figo na kupachika. Watu wanaenda na ndugu zao kuchangia figo ila wakifanyiwa vipimo haviendani hadi wanakosa ndugu mwenye figo inayoendana itakuwa mlevi baki tu wa baa ukamchukue umtoe figo hujui hata figo lenyewe linafanya kazi asimilia ngapi na mambo mengine chungu mzima.
 
Yaah Ndugu wa damu kabisa huwa Inareject hata akinywa Immuno depresant kiasi gani...
 
Wewe ni mmoja wao, jabali la karne[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo I'd si ya kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usihukumu kitabu kwa kusoma jina tu😂
 
Pigeni hesabu gharama ya kuwa na chumba cha upasuaji nyumbani vs bei ya figo halafu ndio muone inawezekana au haiwezekanii..

tunakoendea mbele huko jamaa wataboresha technolojia na watakuwa hawaui tena bali unatolewa figo moja unaichiwa moja unapigwa mshono wako unaenda kuachwa mahala salama ukiwa nusu kaputi....unaamka with only one figo.....utaishia kukumbuka Hainessy na savannah ulizokunywa..
Tena nahisi Kuna mijumba special wanapanga kwa ajili ya kazi..maana Kuna mijumba Ina migeti mikubwa wanaoishi humo ndani huwa hawajulikani,..kweli tuwe Malini uwiiii
 
kwa kweli wanawake wadangaji ni risk takers mbaya kabisa. Siku moja nikawa club,mtoto mzuri meza ya jirani nikamwita tukae wote. Saa 6 nikaondoka naye. Namuhoji amewezaje kuwa tayari kulala na mtu hamjui hata jina wala chochote. Anasema yote namwachia Mungu
Masikini. Huyo ameshakata tamaa ya kila kitu
 
Naumiaga sana nikisikiaga chochote kumuhusu mtoto wa kike najua siku ntakuja kuwa na mtoto wakike ila kwa kweli jamii inamkandamiza sana huyu Kiumbe tangu enzi na enzi na baadhi ya wanawake wenyewe wameathiriwa na mfumo dume duniani.. wanajikuta wanajirahisisha sana kwa kigezo cha umasikini.. inawezekanaje? Sasa dada mzuri kama yule uende na mwanaume ambaye hata haumfaham yaani daah mbona una muonekano mzuri wa kutulia na ukapata mwanaume wa kufanya nae maisha ... WANAWAKE NAWAPENDA SANA ILA INABIDI MBADILISHE TABIA BAADHI YENU TUNAWATEGEMEA SANA KATIKA DUNIA HII
 
Back
Top Bottom