Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,636
- 6,178
nawashangaa sana humu watu wanaona hii kitu ya ajabu au haiwezekani...
Kuwa na theartre nyumbani na madaktari wawili wa mchongo ina gharama ya shilling ngapi..
issue hapa ni demand ya figo duniani kuwa kubwa halafu kuna watu wanazurura zurura usiku bila mpango kwa kigezo cha kudanga...huku watu wanashida ya hela...
Ukimtoa figo mtu, unaenda kuifanyia nini? Kama ni kuipandikiza, what about histocompatibility?