Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Hapa ni wadada kuwa makini na hawa wanaowaita madaga ,MTU umekutana nae bar au club ,anakupa vinywaji unabugia bila shida ,anakuomba utumie nae usiku huo unakubal ,ukicheki nje kapark range rover na namba bandia ankutoa pale umelewa anakuepeleka polini wanakuua na kuondoka na viungo

Tuwaombee sanaa Dada zetu maana wakikutana na madanga ya hivyo akili zao zinakaa kipigaji pigaji mwisho wa siku majanga kama haya

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Wadada sahv wamejaa tamaa
Sasa kama mtu anakwenda uza figo zaidi ya mln
200 akimpa dada 200000 tu bata fulani ana hasara gani
Kwa style ya sahv wa wadada na tamaa zao wataumizwa sana,kama hali hii inafanyika

Ova
 
Mungu fundi sana. Ingekuwa figo lolote linaingia kwa mtu yeyote hii biashara ingekuwa kubwa na mbaya sana! Ila huwezi kuchukua figo bila kujua kama ni matching donor hivyo unaleta ugumu na ndipo tunapoona hii Stori hapa kama chai.
Yani kuna watu Ndugu kabisa mimi nilikuwa nawaona wanakuja Kufanya vipimo kucheck Comparyibility ya Figo wapo waliokuwaverified zinamatch lakini bado mwili Ulizireject...!! Pia bongo **** changamoto sana yani kuna Procedure bila Guide ya wazungu nasema hakuna kimachoendaa.... Kutolewa tu biopsy inakuwa ishu
 
Hakuna Mechanism ya Kuhifadhi kiungo cha Binadamu ili Kipandikizwe kwa Binadamu mwingine maana Figo ili iendelee kuwa Active na kufanya kazi lazima ipate Blood suppy muda wote tena yenye Chakula na Oxygen sasa kama Umaitoa ukaiweka hivyo vitu vitatoka wapi??? Ndo maana inabdi Itolewe na Kupandikizwa at Instant... Ndo maana hata mtu akifa na organ zake labda muwahi kabla hajapoa ndo itolewe otherwise inakufa nayo...
Madanga utakuta ni professional wana vifaa na timu nzima ya kuvuna viungo vya wadangaji

Plus wanampa dawa za kulevya wanampeleka room special

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mungu fundi sana. Ingekuwa figo lolote linaingia kwa mtu yeyote hii biashara ingekuwa kubwa na mbaya sana! Ila huwezi kuchukua figo bila kujua kama ni matching donor hivyo unaleta ugumu na ndipo tunapoona hii Stori hapa kama chai.
Happy new year mkuu
 
Naumiaga sana nikisikiaga chochote kumuhusu mtoto wa kike najua siku ntakuja kuwa na mtoto wakike ila kwa kweli jamii inamkandamiza sana huyu Kiumbe tangu enzi na enzi na baadhi ya wanawake wenyewe wameathiriwa na mfumo dume duniani.. wanajikuta wanajirahisisha sana kwa kigezo cha umasikini.. inawezekanaje? Sasa dada mzuri kama yule uende na mwanaume ambaye hata haumfaham yaani daah mbona una muonekano mzuri wa kutulia na ukapata mwanaume wa kufanya nae maisha ... WANAWAKE NAWAPENDA SANA ILA INABIDI MBADILISHE TABIA BAADHI YENU TUNAWATEGEMEA SANA KATIKA DUNIA HII
Kwa hiyo ukisikia chochote kuhusu mtoto wa kiume huumii? Mfumo dume unaelewa ni nini? Wewe ni feminist wa kiume?
 
Hatari sana...

Ila sijaelewa kwa nini umetoa picha, au uliweka picha ya mtu mfu?
Na Mimi nauliza hivyo. Lands kama ilikuwa picha marehemu alivokutwa kauawa,nlakini kama nl passport
Tu ya kumtambulisha marehemu, ulikuwa huna kosa lolote...
 
Waende muhimbili wafatilie wagonjwa walio badilishwa figo ndani ya masaa 72 kutokea siku ya tukio..

Kwenye hao wagonjwa wote wanatakiwa waseme walipotoa hizo figo walizowekewa.
Hawawezi wakafanyia Muhimbili. Wanafanyia hospitali za Vichochoroni
 
Ebwanae toto kali ivo hao wakaona Figo, Mungu apumzishe mahali pema anapostahili
Clip ya ndgu yake iko anasema hajanyofolewa chochote wala jeraha lolote labda hiyo figo katolea mdomoni
 
RIP dear, hivi si kuna figo za kupandikiza za nguruwe? Au za binadamu zinahitajika kwenye ushirikina?
Mjomba wa marehemu kasema hajatolewa figo maiti wameikagua,udangaji mitaa ya tabata ni mkubwa sana kwa miaka hii ya karibuni
 
R.I.P[emoji24][emoji24] inasikitisha sana

Huyu msichana anaitwa Barke, ameuliwa kifo kibaya sana anaishi llala mtaa wa utete na Pangani.

Inasemekana siku ya tukio tatehe 31, walichukuana na mwenzake wakaenda Tabata (Kitambaa cheupe) kwenye starehe zao huku wanakunywa akiwa na mwenzake na mbaba waliyempata hukohuko (Danga).

Sasa yule mwenzie na marehemu Barke akaenda chooni, anarudi anakuta mwenzie hayupo pale walipokuwa wamekaa anamuangalia hamuoni, anampigia Barke simu imezimwa, siku nne mfululizo. Sasa msichana inabidi ahadithie kwao kuwa nimetoka na Barke na ninampigia simu hapatikani siku ya nne sasa simuoni na nyumbani kwake hayupo. Wakaenda police na taratibu za kumtafuta zikaanza.

Kwenye kumtafuta wakaenda hospitali zote kufika Amana wakaambiwa "Bwana, hapa ililetwa maiti ya mwanamke tarehe 1, baada ya kukaa sana imechukiliwa imepelekwa Muhimbili" ndugu walivyoenda Muhimbili wakautambua mwili wa Barke na walipomchunguza wakakura ametolewa figo.

Pumnzika kwa amani dada inauma sana hii yote inatokana na umasikini kikubwa ni umakini, mtu humjui anaanza kukunywesha pombe kwa kigezo cha danga.

NB: Nimetoa picha baada ya kupata pm za wengi kuwa nifanye hivyo nami nmetoa kulinda faragha ya marehemu ila nmeacha thread kama funzo kwa dada zetu
Naomba picha pm mkuu
 
Yani kuna watu Ndugu kabisa mimi nilikuwa nawaona wanakuja Kufanya vipimo kucheck Comparyibility ya Figo wapo waliokuwaverified zinamatch lakini bado mwili Ulizireject...!! Pia bongo **** changamoto sana yani kuna Procedure bila Guide ya wazungu nasema hakuna kimachoendaa.... Kutolewa tu biopsy inakuwa ishu
Yes zinaweza kukatch lakini bado mwili ukaireject baada ya miez kadhaa ikawa haifai tena. Pia inabidi mpokeaji aendelee tumuia dawa flan ili kuzuia mwili usiishambulie na hizo dawa zinadumuza kinga ya mwili kwa kiasi flani
 
Kwa wale wanaotaka kuona picha nendeni Facebook andika Barke Pesa utamuona marehemu alikuwa Cheupe flani hivi.

Kuhusu kutolewa figo ni kweli na Mimi nimeskia Kwa mtu WA karibu wa Marehemu Ila nadhani familia inaficha Tu kulinda hadhi.

Jamani dada zangu angalieni mnaoenda kulala nao hasa hasa wanaigeria sio watu wazuri tunawafahamu sana hao viumbe.
 
Waende muhimbili wafatilie wagonjwa walio badilishwa figo ndani ya masaa 72 kutokea siku ya tukio..

Kwenye hao wagonjwa wote wanatakiwa waseme walipotoa hizo figo walizowekewa.

Kwa hiyo ukienda pale Muhimbili na figo kwenye mfuko wanakufanyia procedure wanabadilisha fresh kabisa?
 
Back
Top Bottom