Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Pesa Zipo
Tuchape Kazi Ndugu Zangu View attachment 2012996
Wapo na inazidi zaidi ya hapo, mtu haoni nongwa kukutengea asilimia kidogo kutoka katika kipato chake, kila wiki/mwezi, na hasubiri umlilie shida
Basi tu usichokijua ni usiku wa giza Mimi binamu yangu alipewa Kama 6 m kwaajili ya kuubost biashara yake na yeye ni hawara tu
ShukraniUna bahati sana
Naona wadada wamevamia Huu Uzi ili kuwaconvince wanaume waendelee kutoa Hela maana wao wamepata maboya yanayowahonga mamilioni