Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Tanga ni overrated mzee utajua hujui [emoji3][emoji3]Hii likizo nilihonga demu mkali 80k nikajua anajua mapenzi kumbe hamna kitu, nikahonga mwingine 50k nikajua anayajua kumbe naye gogo tu. Ningebahatisha anayejua ningebaki kwake ila hawa hapana nahisi upendo hawana maana ushirikiano sifuri. Nimetupa ndoano kwa mtoto wa Tanga huyu naamini anayajua. Kuhonga it depends ana umuhimu gani kwangu