Dada zetu na biashara za Dubai

Dada zetu na biashara za Dubai

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,053
Reaction score
2,207
wakuu hivi dada zetu wanatumia mbinu gani kufanikiwa katika biashara zao wanazofanya huko Dubai?
 
hujiulizagi kwanini wanaoenda huko Dubai (WENGI WAO) sio wote wana masaburi makubwa?
ukishajijibu hilo swali utakuwa umepata jibu
MJADALA UMEFUNGWA......
 
hujiulizagi kwanini wanaoenda huko Dubai (WENGI WAO) sio wote wana masaburi makubwa?
ukishajijibu hilo swali utakuwa umepata jibu
MJADALA UMEFUNGWA......

kwa hiyo masaburi yana soko kubwa huko Dubai..!!!
 
wengi wao wakirudi,wanakua na rav4 na wanaanzisha maduka ya nguo.
 
wapo kina dada wa kinondoni, mwananyamala, sinza ndio zao eti mtu ana biashara ya nguo.
la la la la la
masaburi hayo ndio yanawaweka mjini mimi namjua mmoja wao
wa pale NAMANGA nadhani mnamjua
 
wapo kina dada wa kinondoni, mwananyamala, sinza ndio zao eti mtu ana biashara ya nguo.
la la la la la
masaburi hayo ndio yanawaweka mjini mimi namjua mmoja wao
wa pale NAMANGA nadhani mnamjua
Jamani msipageuze hapa ZeUtamu.
 
Back
Top Bottom