Dada Zetu na Lift

Dada Zetu na Lift

Umenishtua Bramo, utakuwa ulikuwa unaiwaza hii thread wakati unatoa lifti..siyo mimi kabisa, neva panda lifti za watu! Subiri siku moja ukabwe na wadada majambazi ndiyo utaacha kugawa gawa lifti..uwe mwangalifu!!

Tatizo vitu vingine watu wakisema hapa inakuwa reference kila kukicha yaani wewe si ulifanya hivi nk ndo maana wanawake wengi hawawezi kujishaua wamecheat Kumbukeni nyie wanaume kucheat mnaonekana vidume vitia ila wanawake tunaonekana mal.a.ya, fagio la jiji,utulivu ziro, easy going, gumzo la mtaa you name it.. Sidhani kama ni suala la utakatifu wowote maana hamna mtu perfect na ambae atakuja kuwa hivyo hata siku moja.
Mimi nimewahi kucheat..sirudii tena lakini, ha ha!

Una uhakika hautarudia tena? Hujafa hujaumbika,....mimi simoooo
 
Una uhakika hautarudia tena? Hujafa hujaumbika,....mimi simoooo

Kabisa sirudii tena, niliteleza tu ila siyo kwamba shetani alinipitia!!..yalikuwa mambo ya uteen kitambo!! wewe na hicho kifua sijui kama unasalimika🙂):smile:
 
Kabisa sirudii tena, niliteleza tu ila siyo kwamba shetani alinipitia!!..yalikuwa mambo ya uteen kitambo!! wewe na hicho kifua sijui kama unasalimika🙂):smile:

Navaa makoti makubwa kwahiyo hakuna mtu anaye kiona, teh teh teh! But its very difficult
 
Back
Top Bottom