Dada zetu punguzeni utapeli kupitia mapenzi, kama mtu humtaki kwanini ule pesa yake?

it depends kama ulikua ni unataka kupita tu we mpe ila kama unataka kutengeneza mahusiano ya kuduma basi hakikisha swali la kwanza unamuuliza kuhusu uhusiano wake na baba yake, kama hakua na uhusiano mzuri na mshua wake achana nae utatumia nguvu nyingi
 
Mimi hapa ndipo ninaposhindwa kuwaelewa wanaume wenzangu, hivi unakuwa na akili gani kumuhonga mwanamke, mbona wako wengi tu hapa mjini? Mwanamke si mtu wa kumuonea huruma hata siku moja, ukiwa hivi utachezewa akili mpaka utarudi kwenu usukumani bila chupi. Unatongoza mwanamke, akianza kulia njaa unampiga chini mara moja, haiwezekani mtu umemuona mida hii anakuambia ana miaka miwili (2) hajala na anadaiwa kodi ya mwaka mzima, jiulize bila wewe kumtongoza angefanya nini ili ale au kulipiwa hilo pango la nyumba? Wanaume wasiojitambua ndiyo wanaendekeza hawa wanawake na kuwakweka mjni pasipo sababu. Angalia walivyojazana huko Bongo movie, hawana issue yeyote kazi kutombana na matunda tu na kujianika mtandaoni.
 
Mshaambiwa “USIMPE MWANAMKE PESA UNLESS AWE MKEO, MAMA, MKWE, SHANGAZI, MLEZI ANAYEKUJUA TANGU MDOGO NA AMEHANGAIKA NA WEWE, DADA AU MDOGO WAKO!”

Note:- jinsia zote ziwe za kike hapo
Kabisaa, ndio maana nimejiwekea utaratibu wangu pesa yangu inazunguka kwenye hiyo cycle tuu yani mwanamke mwingine mpuuzi sina huruma nae hata kidogo
 
"Afu" ishirini nayo ni pesa ya kuja jf kulalamika? Watu tunahonga hadi 5m na mbunye tunabaniwa na hatulalamiki.
Tafuta pesa
 
Yaani ndiyo unagundua sasa hivi kuwa wanawake ni matapeli, siwaamini kabisa hawa jamaa. Nashindwa kuelewa mwanamme mwenye akili timamu kuhonga mwanamke hela, yaani sielewi kabisa.
 
Kwanini amzungushe na wakati jamaa ametoa kitita cha elfu 20.
 
Pesa huwa haikataliwi, hata uwe mbaya vipi pesa itachukuliwa na penzi hutapewa
Haaa Mimi sio Mjuzi sana na simu ila nilitamani ile video ya TikTok ni iweke hapa JF Ili wadau wa JF nao waione kidada kinavyo lalalama wakati kisha kula 20k ya Kija wa kiume
 
Kwasababu wa kiume huwezi elewa

Yaani ujishobokeshe mwenyewe kutoa hela halafu unataka tukatae we kuweza

Wakati mwingine tunawaomba hela ili kuwakimbiza wewe hujiongezi mwanamke hajakukubali zaidi ya miezi3 halafu unampa mahela mengi si kutafutina lawama tu
 
Kumbe mama yanguuuu...
Kumbe kutoa pesa kwa mwanamke ni uzembe mda mwingine mnaomba sana pesa Ili mtu ashindwe nimekusoma... Mtu akiniomba tu pesa na mm nakataaa kutoa Kila mtu akimbie kivyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…