Mkuu unapatikana wapi? 😹😹"Afu" ishirini nayo ni pesa ya kuja jf kulalamika? Watu tunahonga hadi 5m na mbunye tunabaniwa na hatulalamiki.
Tafuta pesa
Nilivyomalizia umenielewa… yaani miezi3 unatongoza hujakubaliwa unahonga mahela mengi ya niniKumbe mama yanguuuu...
Kumbe kutoa pesa kwa mwanamke ni uzembe mda mwingine mnaomba sana pesa Ili mtu ashindwe nimekusoma... Mtu akiniomba tu pesa na mm nakataaa kutoa Kila mtu akimbie kivyake.
Angalia dm yako kwa location, mshiko wako na pesa ya uber.Mkuu unapatikana wapi? 😹😹
Pole sana mkuu siku nyingine uwe makini BTW hivi 20k ndio elfu 20 au laki 2?Iko Hivi wanawake wanapenda kupewa au kupokea kwa 100%.
Mwanamke Ukimtongoza tu. Papo Hapo anaanza Kutangaza Shida alizo nazo.
Sasa mwanaume unaona kama kutoa pesa, na kutatua Changamoto ,zake ndo Upendo sio kweli. Ila wanawake watumia mahusiano kama Kitega Uchumi. Pia wanaotumia kama njia ya kutapeli.
Leo TikTok nimeona Video ya mdada mmoja amekula 20K ya . Mwanaume
Baada ya kula hiyo Hela anaanza kumzungusha kijana wa Watu kaona Bora adai pesa 20k .
Swali Huwa najiuliza kama mwanaume haumtaki Why ule pesa yake Sam times Wanawake kufanyiwa mambo mabaya huwa mnataka.
Inakuaje unakula Cha mtu na humtaki?
Dada Zetu, ndugu ,Zetu Punguzeni utapeli kupitia mapenzi, kama mtu haumtaki usile chake Ili kupunguza kuzalilisha, pia pesa ngumu jamani.
k = 000Pole sana mkuu siku nyingine uwe makini BTW hivi 20k ndio elfu 20 au laki 2?
Mkuu bila shaka utakuwa Mwalimu wa hesabuk = 000
So;
2k = 2,000
20k = 20,000
200k = 200,000
And so ON
[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo elfu 20 napata misuba 40. Navuta wiki 2. Bombooclat!
Sio mwalimu wa Commerce?Mkuu bila shaka utakuwa Mwalimu wa hesabu
Bombooclat 😂Hiyo elfu 20 napata misuba 40. Navuta wiki 2. Bombooclat!
Ningeshangaa wa kuhonga million yukwapi? 😹😹😹Angalia dm yako kwa location, mshiko wako na pesa ya uber.
Kwa hiyo umezira?Ningeshangaa wa kuhonga million yukwapi? 😹😹😹
JF mnapenda sana maujiko..!!