Dada zetu punguzeni utapeli kupitia mapenzi, kama mtu humtaki kwanini ule pesa yake?

Hiyo elfu 20 napata misuba 40. Navuta wiki 2. Bombooclat!
 
Emu kwendraa anaombwa Mungu itakuwa mwanaume?? Tutawaomba na tutakula vizuri km hamtaki muache kututongoza..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Tena km limtu silipendi naliomba pesa mpk lenyewe lichoke liniache kunifatiliaโ€ฆ!!๐Ÿคฃ
 
Kumbe mama yanguuuu...
Kumbe kutoa pesa kwa mwanamke ni uzembe mda mwingine mnaomba sana pesa Ili mtu ashindwe nimekusoma... Mtu akiniomba tu pesa na mm nakataaa kutoa Kila mtu akimbie kivyake.
Nilivyomalizia umenielewaโ€ฆ yaani miezi3 unatongoza hujakubaliwa unahonga mahela mengi ya nini
 
Pole sana mkuu siku nyingine uwe makini BTW hivi 20k ndio elfu 20 au laki 2?
 
Enzi zangu kabla sijaoa kitu nilikuwa nafanya ni kutengeneza urafiki na Mwanamke ninayemtaka usiohusisha pesa yaani story tu za hapa na pale akiingiza issue za pesa nachomoa ananunaaa weee baadae tunatafutana Tena siku akiingia kwenye 18 namtafuna kisha Nampa elfu 10 inakuwa imeisha hiyo ajabu ni kwamba nikishatafuna kama atarudi Basi hata ukitafuna bila kumpa pesa anaona sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ