Dada zetu 'sometimes' ni noma!

Huyu bibie si wa kuolewa naye, hiki kibano ukikipata chumbani utatamani small hausi!!
 
Mwanamke hatari huyu, maana huyo polisi kapewa kabali si mchezo duh. Halafu, Mapolisi wengine badala ya kuamualia, wako kwa mbali wakisogeza watu, ili mkono uendelee, na wapiga picha wote wapo kazini.

Hapo mtu lazima alitoka nyongo.
 
Duh hao polisi wa ukweli haina kugombelezea then after ugomvi heshima itakuwepo!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…