Dada zetu wanaume weusi na warefu hawana mapenzi ya kweli

Kwani wafupi ndio wanadumu na wanawake?bro Hilo sebene tunalijua sie!kudeal na hao wafupi unatakiwa ujipange yaani Wana gubu mnooo....All in all binadamu ni walewale
 
Mbwembwe za kijinga Sasa🤣🤣🤣!utaona kametundika na funguo ya vanguard kiunoni kaangalie Sasa kanavyorukia kwenye sit ndio utajua hujui,halafu kanapiga ni miwani myeusi weweeee... brother acha kabisa
Hahahaha, ktk ubora wake mtu mfupi
 
HUU NI MWENDELEZO WA TABIA ZA KIKE AU ZA KISHOGA. UNAWEZAJE KUJA ZUNGUMZIA WANAUME KATIKA MAHUSIANO? WALIKUTENDA NINI?
 
Ushawahi kuwa na mrefu mweusi Hadi umuelezee Kwa undani?
Umemuuliza swali zuri sana. Na unaweza kuta huyu mtoa mada ana jinsia ya kiume. Haya matakata yamekuwa mengi sana siku hizi. Hili kama lina jinsia ya kiume litakuwa shoga. Hakuna mwanaume kamili anaweza anzisha uzi wa kiduanzi na kipumbavu, wakichoko kama huu.
 
Amekutenda mmoja usiichukie dunia nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…