DADA ZETU WAPENDWA:tunaomba tuwashauri

Hebu wapigeni hawa dada zetu maadvaizi makubwa halafu bigibradha ntamalizia na msumari wa mwisho!!

Go Teamo Go! Go Kaizer Go! Go Roya Roy Go! Go De Novo Go! Go brothers Gooooooooo!~!!!
 

Hapo kwenye nyekundu...
Nani anajua hali halisi ya UKIMWI hapo kwa Mkandara?..nahitaji hii taarifa jamani!
Hivi elimu ya UKIMWI huko Uni. ipo?
 
sasa hii kasumba hii ya kuhimilisha mahusiano na ngono ni mbaya sana!
the bad thing ni kwamba mwanamama anahama na concept hiyo hiyo kwenye ndoa!I MEAN ANAAMINI KWAMBA NDOA YAKE INASIMAMIWA NA NGONO!........

kuna jamaaetu pale kerege akishalewa anasema ukweli kwamba mkewe akikasirika ANABANA MIGUU!(hapo ndo hali inapoanza kuwa mbaya sasa)
 

Tafadhali Teamo hebu njoo toa ufafanuzi hapa tafadhali!!
 
Teh teh teh....Ila ungeweka tangazo kabisa kwenye redio na TV maana huko ndo ujumbe utawafikia wengi. besides nadhani wahudhuriaji wengi wa jamvi hili hilo wanalitambua.
Btw well said bro. Ila angalia midume isije kukutafuta kukupa kipondo kwa kumwaga kuku kwenye wali mwingi.
 
Tafadhali Teamo hebu njoo toa ufafanuzi hapa tafadhali!!
unajua mtu anaposema uhusiano uko centred kwenye NGONO mi ndo hapo nakuwa sielewi!kwasaabu gani mimi kwangu NGONO IS NOTHING!I CAN EVEN BUY IT HATA SASA HIVI!yaani mimi yaani mimi dah!yaani hapo ndo ninaposhindwa kuwaelewa wakina mama!
yaani yaani dah!
 

tena mi Gajin inaniput off kabisa...ubaya huwa naelewaga mapema ndo maana....
 
Hebu wapigeni hawa dada zetu maadvaizi makubwa halafu bigibradha ntamalizia na msumari wa mwisho!!

Go Teamo Go! Go Kaizer Go! Go Roya Roy Go! Go De Novo Go! Go brothers Gooooooooo!~!!!


Hommie...we acha tu TEAM leo kaamka vizuri sana sijui vile kaamka 'vuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuup'?
 
Hebu wapigeni hawa dada zetu maadvaizi makubwa halafu bigibradha ntamalizia na msumari wa mwisho!!

Go Teamo Go! Go Kaizer Go! Go Roya Roy Go! Go De Novo Go! Go brothers Gooooooooo!~!!!


Tupeni darasa bwana mwajua vizuri nyie ndo ubavu wetu ati...
 
may be tujiulize swali moja tu sisi ambao tumesaini mkataba wa hiari maanake dah!

WHY DID WE GET MARRIED?.......
 
i mean hilo swala la sex lije baadae sana lakini lisigeuke kuwa MUHIMILI WA MAHUSIANO YENU!shauri zenu bwana mi nishawaambia.....!

Teamo:

Naona baada ya Woza umeamua kuwa "a responsible citizen"

Sasa mkuu utafanya wenzi wetu waanze "kutubania" au "wafanye ili mradi" wasijeonekana "slaves of nanii"!

Mimi Baba_Enock (BE) kwa uzoefu wangu wanawake wote wanatumia "tendo" kama "relationships security" na si vinginevyo. Kwa hiyo mkuu mimi napingana na wewe kwa hii post. That is only "thing" that can keep a strong and unbreakable bond kwenye mahusiano.
 
mwanamke mkitoka kwenye sita kwa sita hamna hata mazungumzo ya kuongea! hehehe upeo wenu wa kuelewa mambo na interest zenu ziko tofauti mno!
 

mungu aepushe hili lakini ikitokea leo umepalalaizi ''mpododi''?...AONDOKE ZAKE?
 
Tendo la ndoa kabla ya ndoa ni hatari kuliko unavyoweza kufikiri. Tatizo kubwa la wadada siku hizi ni kujirahisi. Yaani siyo wamepatwa na mashetani gani. Leo kupata binti bikira ni tatizo kubwa. Ni rahisi kupata sisimizi mwenye chongo kuliko binti bikra.

Majuzi my wife wangu aliniambia enzi zao ilikuwa aibu kwa msichana kufanya ngono kabla hajaolewa na ilikuwa inaonekana ni kituko cha aina yake kwa binti kujiingiza kwenye mahusiano ya ngono kabla ya ndoa. Leo mambo yamebadilika kiasi kwamba binti asiyejihusisha na mapenzi kabla ya ndoa ndo anaonekana kituko!!!!!!! Pepo la ngono limewakamata vijana wetu ni balaaa tupu!!!! tunajidanganya kuwa ndo maendeleo wakati ni upuuzi mtupu. Tendo la ndoa (as the name itself suggests) ni kwa wanandoa TU na si vinginevyo. Ni muhimu kila mtu ajue namna ya kuji-control mwili wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…