DADA ZETU WAPENDWA:tunaomba tuwashauri

Hawa kinadada mnaowashauri wameshawaelewa au?


hommie......huwa wanaelewa halafu wanajifanya hawajaelewa....ila wakilewa ndo wanajikuta wameelewa.....hapo siye tunakuwa tumeshaelewa zamaaaaaaaaaani! LOL
 
hommie......huwa wanaelewa halafu wanajifanya hawajaelewa....ila wakilewa ndo wanajikuta wameelewa.....hapo siye tunakuwa tumeshaelewa zamaaaaaaaaaani! LOL
malenga mpya!....vina vingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kaa mashairi ya saadan
 
Kuna baadhi ya ladies wana mtazamo tofauti. Mnapokuwa wapenzi atakuwa free na wewe kwa kila kitu lakini ukimueleza habari za sex mnagombana. Wao wanachukulia kwamba ukishamlamba unakula kona mbaya, so dawa ni kukunyima ili muendelee na mahusiano. Kama mapenzi yako ni ya kweli utakuwa mvumilivu, na huenda soon au later ukatangaza nia...!!
 

FL1 huenda huyo mama hukumuelewa vizuri. Alilotaka kuwafahamisheni ni kwamba kwenye ndoa hakuna kunyimana, unapomnyima mwenzio unyumba unatia sumu ndoa/mahusiano yenu. Kama unamtosheleza mwenzio ipasavyo unakuwa unaimarisha ulinzi wa ndo yako.
 
KUNA JAMAAANGU HAPA OFISINI...
anasema akikosana na galfrendi wake,wanapotafuta muafaka wakishayamaliza matatizo yao jamaa huwa hawezi kuamini kwamba yamekwisha mpaka wafanye mapenzi
 
KUNA JAMAAANGU HAPA OFISINI...
anasema akikosana na galfrendi wake,wanapotafuta muafaka wakishayamaliza matatizo yao jamaa huwa hawezi kuamini kwamba yamekwisha mpaka wafanye mapenzi

Ebana eeeh and I can vouch that make up sex is the best sex bar none!!!! Sijui kwa nini tu
 
Wanawake ambao walijilegeza kwangu na kunipa tunu yao wakati penzi lingali changa sikuwaweka maanani ktk uchaguzi wa kuoa maana nilijiaminisha kwamba kama alinipa kirahisi mno atawezaje kujizuia kutoa kwa mwingine yeyote akiwa ktk ndoa?

Nawashauri mabinti msiwe na haraka ktk masuala ya mapenzi kabla ya ndoa. as said King Solomon (Lover boy of the era) in his King Solomon Song Chapter 2: 7 - I adjure you, O daughters of Jerusalem, By the roes, or by the hinds of the field, That ye stir not up, nor awake [my] love, Until he please.
Ingawa later Bob Marley alisema Stir it Up little darling.... but if you keep on it ujue ndoa (mbeleni) unaitia DOA.

Ingawa sio wote bali wengi wenu akina dada mnatoa sana nyeti zenu kama security ya mahusiano. Kuna mtu aliniambia kwamba ukigombana na mwanamke halafu akakupa tupu yake hesabu ugomvi umekwisha na anaamini amekuwin.....

Nafunga bakuli langu...
 
Wengi huwa wanaamini kuwa wakisha megwa ndo tayari dhahili dalili za upendo.
 
topic hii imenikuna sana. kwa kweli wadada wengi wana mahangaiko sana ya kujipelekesha kingono ngono. sometimes watajitahidi kila njia kumnasa mwanamme mpaka aingie mtegoni. acheni hizo!
 
Kama mwanaume anampenda mwanamke kwa dhati haijalishi kama kampa mapema au la. Kwanza mjue wakati mwingine si suala la kujirahisisha. Labda nae ana ham zake je. Kumcheleweshea mwanaume pia si kigezo kuwa atakuona wa maana sana. Ni kweli mapenzi ni zaidi ya ngono lakini ngono ni sababu ya kuwafanya kuwa wapenzi
 


labda mmmhh
 
Off topic kidogo, wapendwa wana Jf, kuna yeyote humu ndani ana sababu zaidi ya sex ilomfanya akaingia kwenye mahusiano ya mapenzi? Samahani kwa nitakaye mkwaza

once niliingia kwenye mahusiano si sababu ya sex,it was Money!!!
 
sugar hiii imenikuna mpenz ............hebu njoo utufafanulie? jamaa alikuwa na mshiko na wewe ulikuwa na shida au?
 

........au ukaitwa ZOBA, Uwe una maliziaga basi na wewe ah!
 
Off topic kidogo, wapendwa wana Jf, kuna yeyote humu ndani ana sababu zaidi ya sex ilomfanya akaingia kwenye mahusiano ya mapenzi? Samahani kwa nitakaye mkwaza

U must be a Genius, kama ndivyo sivyo basi una vi-element vya ujiniasi. Good, Better, Best idea. Ndio maana nikakugongea Thanks
 

Asante sana kwa kuwashuri dada zetu.Ukiwa kama mwanume unaombwa kueleza hiyo mihimili mingine ni ipi sasa mbona hujaitaja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…