DADA ZETU WAPENDWA:tunaomba tuwashauri


Ukweli ni kwamba mwanmume anataka kuhangaika na kutamanishwa kabla ya kupewa.ukimpa mara moja anakudharau na kukukosea heshima.Tena kama alikuwa anataka kukumega tuu ukikawia hatangoja atakwenda zake.So hii advice ya mwenye kulete mada ni kweli mtupu.
 
I second that:smile:
 
sugar hiii imenikuna mpenz ............hebu njoo utufafanulie? jamaa alikuwa na mshiko na wewe ulikuwa na shida au?

Mara kwa mara vinakwenda vyote kwa pamoja,jamaa kuwa na MSHIKO na bint kuwa na shida au TAMAA tu!:mad2::mad2::mad2:
 

Ndo nimeiona leo sababu ya utoro wangu n i totaly agree with you T.
 
Ndo nimeiona leo sababu ya utoro wangu n i totaly agree with you T.
hahahaah!
hivi we kiumbe upo kweli?
mi nimeanza kuogopa kwamba HUENDA UISHAIMBIWA WIMBO wa tumpeleke
 
hahahaah!
hivi we kiumbe upo kweli?
mi nimeanza kuogopa kwamba HUENDA UISHAIMBIWA WIMBO wa tumpeleke

Teamo hii post yako iko poa saaana, i like it me mwenyewe ndo kuiona leo ati! Asanti saaaana kaka
 
Mwanamke wa kutoka nae na mwanamke wa kumwonesha mama..... watu 2 tofauti kabisa!! kazi kwao!!!:glasses-nerdy:
 
Hahaaa,
hivi huyu dada alikuwa hajui namna ya kutumia condom au hata kumwambia mshikaji akojoe nje au kujua siku za period yake? i am sorry kwa kweli lakini simuonei huruma mwanamke mwenzangu. huyu alijitakia na kwa kweli yeye ndo mwenye matatizo.


 

Kuna wengine hawatanui kwa yule waliem-target atangaze nia, ila kwingine wanatanua
 
Hoja nzuri lakini mapenzi hayana formula,wanandoa msinyimane soma Wakorinto 1 sura ya 7.
Kwa wale dada zetu wanaotafuta wachumba kujirahisisha mno sio tiketi ya kuolewa na yule uliempa uroda,bana mapaja mpaka kieleweke.
Kwa dada zetu wenye ndoa ni jukumu lao kuimalisha usafi wa miili yao,mavazi yao na makazi yao,pamoja kula vyakula vya matunda,kufanya mazoezi ya mwili.
Vile vile punguza stresses na mabishano ya kila mara na mpenzi wako.
Mwisho ufukura kwa namna mmoja au nyingine unachangia kuua mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…