Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
Mhh kujichubua kwangu ni big no!
nimeridhika na nilivyo
nimeridhika na nilivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
binti una undugu na afrodenz?Kipofu siyo lazima apofuke macho, kuna upofu wa akili. Hii naweza sema ni upofu wa akili. Ninachojua ni kwamba kila mtu hapendi kuwa yule anapenda awe zaidi ya yule, waigizaji wa kiafrica sisi tunachofanya ni kuwa kama yule siyo zaidi.
Kutokana na upofu wa kiroho, huna cha kumshauri mpaka akipata skin cancer ndiyo anakumbuka kumbe kuna Mungu? Upofu unaondoka anabaki kuuguza kidonda end of day israel anaondoka nae.
Ebu wanawake zinduka, siyo wakati kukopi na kupesti. kuwa wewe, simama kama wewe siyo yule!
Sikonge hana ubavu wa kumpata shori kama huyu. Zake yeye sampuli za Fideline teh teh teh....
Oh btw Ngosha Sikonge, yule mtu wetu vipi yule? Bado unampigia mahesabu? Lol
i wish kupata mwanamke anayelewa uzuri wake wa asili hasa kwenye nyweleLakini inakuwaje kwa mfano baadhi yetu wenye nywele za kipilipili ambazo kuchana hadi uje na greda; mtu ukaamua kuweka texturizer nywele zikawa na mawimbiwimbi na si kipilipili tena je nako ni uduni au kujirahisishia mambo?
mimi sitaki na kwame sitojihusishaKama wanaume wangekua hawataki wasingejishughulisha!