Dadadeki!! Kwa mwezi wa Desemba tu KRA imekusanya Ksh166 billion, kwa hela madafu hizo ni kama Tshs 3,652,000,000,000 yaani Trilioni 3.6

Pesa ya Kenya ina thamani kuliko pesa ya Tanzania (pamoja na ya Japan pia).

Lakini sokoni pesa ya Kenya ni dhaifu sana.
Ndio maana wakenya wanalipwa pesa yenye thamani lakini maisha yao ni duni kuliko wenzao wa Tanzania.
 
Kwetu huku tulishasahau kuhesabu MBs, nakumbuka nikiwa Bongo nilikua kila mara natuma ujumbe wa kujua zimesalia MB ngapi, ila huku ni mwendo wa kuteleza tu, natazama movies kwenye Netflix hadi zimenichosha.
[emoji2][emoji2]but safaricom knows you better.
isingekuwa na demand isingewekwa hapa.
 
kikubwa ni kuipita tz basi yeye kwake inatosha[emoji38][emoji38][emoji38].

kajinga hako kajamaa.
 
Sisi wengine wetu tunatumia wi-fi. Wi-fi hakuna kuangalia umetumia MBs ngapi. Unateleza nayo bila kuangalia nyuma
mnataka kudanganya watu hapa kwamba kila mmoja wenu ana uwezo wa kununua bundle unlimited!![emoji23][emoji23][emoji23].

huo ndio uongo ambao siutaki mimi.
 
mnataka kudanganya watu hapa kwamba kila mmoja wenu ana uwezo wa kununua bundle unlimited!![emoji23][emoji23][emoji23].

huo ndio uongo ambao siutaki mimi.
Obviously sio kila mtu anaweza kuafford unlimited data package. Lakini ukiwa na router na ISP basi unalipa tu ksh 1,000 kila mwezi na unapata package ya 5 MBps. Ukiwa na pesa zaidi unaweza kulipa ksh 2,000 na kupata 10 MBps. Elfu moja hata Mkenya wa kawaida anaweza kupata. Ni vile tu watu wengi wamekwama na Safaricom kwa sababu hawajui kwamba wanaweza kupata cheaper internet ambayo ni unlimited wakiwa na cable internet kwa nyumba. Hii fibre optic imefanya internet ikuwe cheap na ikuwe unlimited. Mimi hio cable internet nimeiconnect na router ili niweze kutumia wi-fi kwa simu na kompyuta.
 
Maskini akipata matako hulia mbwata
 
Halafu nilishangaa sana kuona nyie pamoja na huo umaskini wenu mnazidi kukopa, mindege inakamatwa kwa kushindwa kulipa madeni ya watu...
 
[emoji2][emoji2]but safaricom knows you better.
isingekuwa na demand isingewekwa hapa.View attachment 1679563

Mimi nateleza kwa kitu kinaitwa Zuku, yaani unlimited, tafuta mtu akutafsirie nini maana ya unlimited.....kazi zangu nafanyia kwenye cloud bila kuwaza chochote kinachohusu internet
 
Halafu nilishangaa sana kuona nyie pamoja na huo umaskini wenu mnazidi kukopa, mindege inakamatwa kwa kushindwa kulipa madeni ya watu...
Deni zao huwa sio za kukopa pesa bali huwa wamefurusha kampuni ya Mbeberu bila kufuata sheria. Ile ndege iliyokamatwa Canada ilikuwa ni kwa sababu walifurusha Kampuni ya kibeberu bila kufuata sheria halafu beberu akakimbia mahakamani na kushinda kesi. Ile ya SA vile vile walimnyang'anya beberu shamba lake bila kufuata taratibu za kisheria. Huwa Nashindwa kwa nini hawa watu hawawezi kufuata sheria wanapocancel contracts za investors. Wana ushamba sana hawa watu wa kusini.
 
mnataka kudanganya watu hapa kwamba kila mmoja wenu ana uwezo wa kununua bundle unlimited!![emoji23][emoji23][emoji23].

huo ndio uongo ambao siutaki mimi.

Buku ya Kenya nani hana uwezo huo huku, labda wale omba omba wenu huja huku, ila kwa misaada ambayo huwa tunwapa lazima wana uwezo huo.
 
Ndio mifumo ilivyo ya kijamaa, yaani hutaka wafanane wote na kuishi maisha ya dhiki, hukwamishana sana.
 
Halafu nilishangaa sana kuona nyie pamoja na huo umaskini wenu mnazidi kukopa, mindege inakamatwa kwa kushindwa kulipa madeni ya watu...
Madeni ya Tanzania yanaweza kusawazishwa kwa ndege moja.

Ipo siku wadeni wenu watagawa nchi katikati na kujimilikisha.
 
Buku ya Kenya nani hana uwezo huo huku, labda wale omba omba wenu huja huku, ila kwa misaada ambayo huwa tunwapa lazima wana uwezo huo.
Kwa buku ya kenya nikija Bongo napata GB 14 ya internet na ni 4G.

Kwenye makusanyo yenu ya mwezi hebu niambie huwa mnakusanya sh ngapi kikawaida? Hivyo hiyo trilioni 3.6 nanyi mmevunja rekodi yenu ya ukusanyaji?
 
Unfortunately, Kenya is among the very poor paying countries, Tanzania Tops the list of Countries with best Slaries in East Africa,
6th in Africa.
Nyie ni makapuku tu.
 
Kwa buku ya kenya nikija Bongo napata GB 14 ya internet na ni 4G.

Kwenye makusanyo yenu ya mwezi hebu niambie huwa mnakusanya sh ngapi kikawaida? Hivyo hiyo trilioni 3.6 nanyi mmevunja rekodi yenu ya ukusanyaji?

Ahha wapi bei zenu mbona naziona hapa Welcome : Home
Halafu hovyo sana eti siku saba, maana zikiisha siku saba kama hukua umetumia hizo MBs zinakupotea, huku ukinunua mpaka siku utatumia MB ya mwisho.
 
Mnamchanganya JIWE
 
Ahha wapi bei zenu mbona naziona hapa Welcome : Home
Halafu hovyo sana eti siku saba, maana zikiisha siku saba kama hukua umetumia hizo MBs zinakupotea, huku ukinunua mpaka siku utatumia MB ya mwisho.
Huo ni mtandao mmoja voda pekee chief. Halafu hizo bando unachagua tu mwenyewe. Ya siku wiki mwezi n.k na zipo ambazo hazina limit ya muda. Bongo internet ni very cheap na kasi ipo ya kutosha.

Huku bando inatumiwa haswa maana watu wana stream video haswaa..na pia mitandao inayokula data kwa wingi kama YouTube, Instagram, tik tok n.k huko wabongo wamejazana sana. 15G kuisha in a month ni kitu ya kawaida sana. Na hiyo ni buku tu ya kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…