Dadadeki!! Kwa mwezi wa Desemba tu KRA imekusanya Ksh166 billion, kwa hela madafu hizo ni kama Tshs 3,652,000,000,000 yaani Trilioni 3.6

Nimewahi kuishi Bongo bana, hamna mtandao mwingine zaidi ya Voda, hao wengine ni choka mbaya wa kutupa mbali, labda kama wameboresha.
Nakumbuka nilivyohangaika na hiyo mitandao mara Tigo, mara sijui Haloel hovyoo kabisa too slow internet. Voda kidogo walikua nafuu, kasi yao inakaribia kufikia ya mitandao ya Kikenya.
 
huku kuna mitandao kama utitiri.naiweka hapa kwa ubora na speed.

vodacom
tigo
halotel
airtel tz
zantel
ttcl.

bado smart na smile haiorodheshwi sababu ni premium sana,ina speed kubwa na ni ghali sana.
 
Acha mahaba ya kijinga, Bongo sio kama kenya eti itawaliwe na mtandao mmoja hiyo safaricom. Huku kuna uhuru mpana tu wa kuchagua bando uitakayo kwa mitandao tofauti
 
huku kuna mitandao kama utitiri.naiweka hapa kwa ubora na speed.

vodacom
tigo
halotel
airtel tz
zantel
ttcl.

bado smart na smile haiorodheshwi sababu ni premium sana,ina speed kubwa na ni ghali sana.
View attachment 1679681

Zote hizo moja tu ndio niliona ya maana, zingine ni choka mbaya....nimetumia zote hizo bana, naongea kitu ninachokijua. Tigo inafika mbali mikoani zaidi ya Voda ila yenyewe Tigo ni hovyo kupita maelezo.
 
Acha mahaba ya kijinga, Bongo sio kama kenya eti itawaliwe na mtandao mmoja hiyo safaricom. Huku kuna uhuru mpana tu wa kuchagua bando uitakayo kwa mitandao tofauti

Nazungumza kuhusu ubora wa huduma, internet ya Voda niliipenda ilikua inaniwezesha kufanya kazi zangu, hizo zingine tupa kule, kuchagua mtandao sio issue kikubwa ni huduma unayopata na nina uhakika Watanzania wengi wanaojua ukweli ninaousema wannapita kimya maana huwatamausha kishenzi.
 
Uhuru keshasema sasa ni zamu ya makabila mengine kutawala, sio kila siku wakikuyu na wakalenjin tu. Tungoje tuone kama itakuwa hivyo. Na ikiwa hivyo sijui kama utaendelea kupiga porojo zako hapa.
 
Zote hizo moja tu ndio niliona ya maana, zingine ni choka mbaya....nimetumia zote hizo bana, naongea kitu ninachokijua. Tigo inafika mbali mikoani zaidi ya Voda ila yenyewe Tigo ni hovyo kupita maelezo.
hiyo voda ni kweli ni best kuliko hizo nyingine

ila haimaanishi hizo nyingine ni mbovu sana.voda inaacha nyingine kwenye strength ila speed kuna maeneo inapitwa.
 
Uchumi wetu ni mara mbili yenu, tunawazidi kwenye kila kitu, kielimu, kijeshi, kiuchumi na hata kujua English...hehehe hilo la kujua English huwa linawashikisha ukuta aisei... napenda sana kulitaja au sio GODZILLA
Zaidi ya waiba mikate na blueband Kenya haina jeshi. Muda USA akimaliza interests zake hapo Somalia itabidi Tanzania iingie vitani kuiokoa Kenya mikononi mwa el shabab.
 
Zaidi ya waiba mikate na blueband Kenya haina jeshi. Muda USA akimaliza interests zake hapo Somalia itabidi Tanzania iingie vitani kuiokoa Kenya mikononi mwa el shabab.
US washaondoka. Sasa si mje Somalia kutuokoa.
 
Wananunua uchawi wa kuroga majirani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…