The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Ulikuwa wapi mwaswast, karibu sana [emoji3][emoji3]Tutalilia chooni kwa hili. Mikopo hii tunapokea kutoka kwa mibeberu inakulwa na hidden agenda kwa Raiyaa ila viongozi wanajua kuwa hatutoweza kulipa Bila kuachilia Mali ghafi kwa beberu.
Bei ya chakula ishapanda tayari, Kazi hakuna na zaidi curfew bado ipo [emoji24][emoji24][emoji23][emoji23] Kenya na Nigeria tofauti ni hina tu!