WelcomeNice
Kwani wanawake huwa hamjiamini na nywele zenu mlizoumbwa nazo ?Habari wadau!
Hii ni kwa DADAZ wanaopenda nywele nzuri kutoka nje ya nchi kama vile(ULAYA NA MAREKANI),tuna nywele nzuri mbalimbali kama vile (WIGS NA CROCHET ) hapo chini ni baadhi ya nywele zilizopo .
wasiliana nasi kupitia namba +255742430950.
View attachment 3393051View attachment 3393052View attachment 3393053View attachment 3393054
Nini nywele hata "kota" nalo hawajiamini mpaka waweke la mchina au mturukiKwani wanawake huwa hamjiamini na nywele zenu mlizoumbwa nazo ?
Ni ujinga au ulimbukeni unawasumbua ?Nini nywele hata "kota" nalo hawajiamini mpaka waweke la mchina au mturuki