Watu wako bize na maokoto!Hiki kinachoitwa kujiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa raia wote waliokidhi vigezo na wanaohitaji kupiga kura ni aina fulani ya kituko na jambo lisilo na tija yoyote katika demokrasia zaidi ya kupunguza ushiriki wa raia katika uchaguzi kwa urasimu wa ajabu ajabu tu.
Pia ni upotezaji wa pesa za walipa kodi tu kwa gharama zisizo na mashiko yoyote.
Watanzania walio na vitambulisho kama NIDA, Passport na leseni ya udereva walitakiwa waweze kupiga kura kwa hivi vitambulisho vyao, hakuna haja ya kwenda kupanga mstari tena sijui kujiandikisha au kuboresha daftari la wapiga kura.
Swala lingine lililo kaa kikanjanja ni kulazimisha MTU apige kura sehem aliyojiandikisha pekee...hii kufanya wale watakao kuwa sehem tofaut na eneo la kujiandikisha kushindwa kupiga kura...hii inafanya CCM iendelee kutawala kirahisi... kwa maana wanakuwa na wapiga kura wa aina moja miaka yote...
Hiki kinachoitwa kujiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa raia wote waliokidhi vigezo na wanaohitaji kupiga kura ni aina fulani ya kituko na jambo lisilo na tija yoyote katika demokrasia zaidi ya kupunguza ushiriki wa raia katika uchaguzi kwa urasimu wa ajabu ajabu tu.
Pia ni upotezaji wa pesa za walipa kodi tu kwa gharama zisizo na mashiko yoyote.
Watanzania walio na vitambulisho kama NIDA, Passport na leseni ya udereva walitakiwa waweze kupiga kura kwa hivi vitambulisho vyao, hakuna haja ya kwenda kupanga mstari tena sijui kujiandikisha au kuboresha daftari la wapiga kura.
Watu wako bize na maokoto!
Wale wote weny NIDA, passport ambazo hazija expire na leseni za udereva zilizo hai wanatakiwa wahesabiwe kama ni wapiga kura watarajiwa tayari. Wale wasio na hivi vitambulisho ndio wakajiandikishe katika daftari la wapiga kura na wapatiwe kitambulisho cha kura.Suala la kujiandikisha au maboresho la daftari la wapiga kura ni kutambua idadi kamili kwa watakao piga kura, ili kuongeza wapya na kuondoa walio kufa. Ili jambo ni muhimu na hilo daftari lina umuhimu wake
Kuna mahali nimepita jana nikakuta kuna mkusanyiko mkubwa wa watu wamevaa Tshirts na kofia zimeandikwa majina ya kiongozi fulani wao wakijitapa kuwa mheshimiwa kawapa majiko ya gas na shs 50,000/= kila mmoja. Na amewasafirisha kutoka huko na huko kwa mabasi na malori! Na kweliagari yalijaa pomoni. Hiviiii TAKUKURU wanafanya kazi kwa mfumo upiiii? Au mpaka mtu aseme kuwa mahali fulani kuna harufu ya rushwa ndiyo waende kunusa? Au wananusa wenyewe na kugundua kuwa mahali fulani kuna rushwa kisha kuchukua?Matukio ya jana pale kwa maoni yangu ilikuwa ni rushwa bab kubwa!! Na hasa ukiangalia walengwa/wanufaika inafikirisha!!Mwaka huu, watu watajiandikisha wengi ili wapate vitambulisho kwaajiri ya matumizi mengine lakini mwamko wa watu kupiga kura siku ya uchaguzi ni mdogo
- washindi wameshajulikana
- raia wengi hawapendi kujihusisha na siasa
- vyama vya upinzani havina hoja na mwelekeo
wengi watakaopiga kura ni watu wa ccm maana wana hamasa, wanapewa bakshish, hawajitambui, wanaamin wao ndio watawala
Hili haliwezekan kwa sbb mtu anaweza akachaguliwa na watu wasio wakazi wa eneo husika kwenye serikali za mitaaSwala lingine lililo kaa kikanjanja ni kulazimisha MTU apige kura sehem aliyojiandikisha pekee...hii kufanya wale watakao kuwa sehem tofaut na eneo la kujiandikisha kushindwa kupiga kura...hii inafanya CCM iendelee kutawala kirahisi... kwa maana wanakuwa na wapiga kura wa aina moja miaka yote...
Kwa nini mtu ajisumbue kwenda kumpigia kura mwenyekiti wa mtaa, diwani au mbunge asiyemuhusu huku akiacha kuwapigia kura watu wake wanaomuhusu??Hili haliwezekan kwa sbb mtu anaweza akachaguliwa na watu wasio wakazi wa eneo husika kwenye serikali za mitaa
Hili haliwezekan kwa sbb mtu anaweza akachaguliwa na watu wasio wakazi wa eneo husika kwenye serikali za mitaa