Dagaa Kamba

Dagaa Kamba

tajirisana

Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
83
Reaction score
22
Habari za leo wana JF, ninataka kufuga Dagaa kamba , kuna mwenye taarifa jinsi ya kufuga , chakula chake, bwawa lake liweje na Soko lake ndani ya Tanzania?
 
Safi ubunifu mzuri, wasubir wakuu wamalize kupata chai wanakuja kukusaidia,
 
Back
Top Bottom