Dagaa wa mwanza kwa chakula cha kuku

The Industry

Senior Member
Joined
Sep 1, 2012
Posts
117
Reaction score
30
Habari zenu waheshimiwa, kwa kifupi naomba msaada kwa yeyote anaye fahamu ni viwanda gani kwa dar wananunua dagaa wa mwanza kwaajili ya kutengenezea chakula cha kuku, plz nisaidieni nataka kuanza ku supply kwa kiasi kikubwa, na kwa wale watengenezeji wadogo wadogo pia tunaweza kufanya kazi.
 
Karibu mkuu, ila hayo maneno yenye red hayajakaa kibiashara kabisa, unless uwe unauza for leisure na sio kwa ajili ya biashara na kupata faida
 
Yeye akubali tu kuingia gharama ya kufanya research,bahati mbaya hapa hakuna watu wenye kutoa huduma za marketing research.ingekua nairobi we unatoa tenda watu wanakutafutia data zote.
 
mcheki huyu jamaa 0766951391 au 0684995484 huwa anachukua dagaa hawa direct kutoka Mwanza anakuja kusuply Dar
 
Biashara inaendeleaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…