The Industry
Senior Member
- Sep 1, 2012
- 117
- 30
Habari zenu waheshimiwa, kwa kifupi naomba msaada kwa yeyote anaye fahamu ni viwanda gani kwa dar wananunua dagaa wa mwanza kwaajili ya kutengenezea chakula cha kuku, plz nisaidieni nataka kuanza ku supply kwa kiasi kikubwa, na kwa wale watengenezeji wadogo wadogo pia tunaweza kufanya kazi.