Wanaitwa star fish
Sio kweli, wanaitwa baby fishSmall fish
Yaaawa!! Omera wacha vituko"Omena"
Wanaitwa "Uono"...Nauliza dagaa kwa kiingereza wanaitwaje?
Kuna mtoto anataka kuniaibisha asubuhi hii, sijui zinaitwaje kwa kizungu,
Msaada kwa anayejua..