Dagaa wanaitwaje kwa kingereza?

Dagaa wanaitwaje kwa kingereza?

Wekeni picha ya dagaa sio wote tunamfaham
Eeee!! kumbe hata dagaa huwajui!!! Haya [emoji116] [emoji116]
IMG_20180112_142351.jpg
 
Dagaa aina gani ,kuna dagaa wengi?
 
Samaki wote wakiwa wadogo wanaitwa dagaa, wakiwa wakubwa wanakuwa tofauti
 
Dagaa ni dagaa tu! Wazungu hawana jina la hii kitu ! Sardines ni viumbe wengine kabisa !
 
Back
Top Bottom