Ngugi Aliwaonya wakenya ya kuwa literature ya Kenya haiwezi kuandikwa kwa kizungu.. In the process utapoteza meaningful bits..
Dagaa wanapaswa kuitwa dagaa.. Just because they look like sardines doesn't make them sardines.
Next tutasema Ugali kwa kizungu ni nini? 🙂
Dagaa ni Dagaa.. Iwe kichina kireno kijapani ni dagaa.
Tujifunze kwa wanigeria .. Fufu.. Egusi..etc