Dagaa wanaitwaje kwa kingereza?

Dagaa aina gani ,kuna dagaa wengi?
 
Samaki wote wakiwa wadogo wanaitwa dagaa, wakiwa wakubwa wanakuwa tofauti
 
Dagaa ni dagaa tu! Wazungu hawana jina la hii kitu ! Sardines ni viumbe wengine kabisa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…