mtoo mtundu
Member
- Dec 2, 2017
- 11
- 2
Small fishNauliza dagaa kwa kiingereza wanaitwaje?
Kuna mtoto anataka kuniaibisha asubuhi hii, sijui zinaitwaje kwa kizungu,
Msaada kwa anayejua..
Unataka utransilate mistari ya Aslay sio.Nauliza dagaa kwa kiingereza wanaitwaje?
Kuna mtoto anataka kuniaibisha asubuhi hii, sijui zinaitwaje kwa kizungu,
Msaada kwa anayejua..
Sardines ni aina ya samaki wadogo. Kila samaki ana jina lake sasa inategemea unamuongelea dagaa aina ipiSijui wanasema" sardines"
Nauliza dagaa kwa kiingereza wanaitwaje?
Kuna mtoto anataka kuniaibisha asubuhi hii, sijui zinaitwaje kwa kizungu,
Msaada kwa anayejua..
We utakuwa mkazi /unatokea TangaWanaitwa "Uono"...
Sorry, ni "sardines" ndugu.
Scientific nameAnchovy
plural anchovies or anchovy
:
Good!Hahaha small fish