Daght Digital Market: Fursa ya uwekezaji - Tunatafuta Mwekezaji/Mshirika wa TZS 3,000,000

Joined
Aug 27, 2022
Posts
7
Reaction score
3
DAGHT BUSINESS, DAGHT CUSTOMER & DAGHT DRIVER
Waanzilishi ni wawili.

Heshima kwenu wajumbe na wadau wa biashara na teknolojia wa JamiiForums.

Ulimwengu wa biashara unaendelea kubadilika kwa kasi, huku matumizi ya Artificial Intelligence (AI) katika e-commerce na marketplaces yakizidi kukua. Tumeunda na kukamilisha DAGHT DIGITAL MARKET, jukwaa la kidijitali linalolenga kuwaunganisha wafanyabiashara na wateja kwa kutumia teknolojia.

1. HALI YA MRADI KWA SASA​

Ili kuweka wazi hatua ambayo mradi umefikia:
  • Kampuni: Imesajiliwa rasmi BRELA na ina TIN kutoka TRA.
  • Apps: Android na iOS ziko tayari kwa uzinduzi.
  • Website: Ipo katika hatua za mwisho za kukamilishwa.
  • Makao makuu: Wazo–Tegeta, Dar es Salaam.
Lengo la sasa ni kuingia sokoni na kujenga user base ya kutosha. Tunaamini idadi ya watumiaji itatusaidia kuvutia fursa zaidi za ufadhili na ushirikiano kwa ajili ya upanuzi wa biashara.

2. MATUMIZI YA TZS 3,000,000​

Fedha hizi hazihitajiki kwa ajili ya kutengeneza mfumo, kwani kazi kubwa ya development tayari imekamilika. Zitatumika zaidi katika compliance, leseni na uzinduzi wa biashara, kama ifuatavyo:
  • LATRA: TZS 1,200,000
  • Data Protection Compliance: TZS 100,000
  • Business Licence Class A: TZS 250,000
  • Ofisi – kodi ya miezi 3, samani na vifaa: TZS 550,000
  • Play Store & App Store accounts: TZS 300,000
  • Marketing, Wi-Fi & Ground Activation: TZS 600,000
Jumla: TZS 3,000,000

3. UWAZI NA ULINZI WA MWEKEZAJI​

Tunataka mchakato wa uwekezaji uwe wazi na unaoweza kuthibitishwa:
  • Fedha hazitatolewa cash kwa kampuni. Mwekezaji anaweza kufanya malipo moja kwa moja kwa taasisi husika kwa gharama zilizokubaliwa.
  • Mwekezaji atakutana na waanzilishi halali wa kampuni na kukagua nyaraka za BRELA, Business Plan na mikakati ya biashara kabla ya makubaliano.
  • Kwa uwekezaji wa hisa, mwekezaji atasajiliwa rasmi BRELA kama mwanahisa, kwa asilimia itakayokubaliwa na pande zote.
  • Pia tunazingatia uwezekano wa kupokea fedha kama mkopo wa biashara, kwa mkataba rasmi unaoainisha masharti na marejesho.

4. KWA NINI TUNATAFUTA MWEKEZAJI SASA?​

Lengo ni kuingia
 
Lengo ni kuingia sokoni kwa wakati, kujenga user base na kuongeza kasi ya upanuzi wa DAGHT DIGITAL MARKET.

Iwapo mwekezaji ataweza kutoa zaidi ya TZS 3,000,000, tuko tayari kujadili uwekezaji mkubwa zaidi utakaoenda sambamba na upanuzi wa shughuli na masoko.

Business Plan, mikakati na taarifa za kina za DAGHT DIGITAL MARKET zitapatikana kwa mwekezaji anayependa kufanya mazungumzo rasmi na uongozi wa kampuni.

📞 MAWASILIANO​

Kwa mwekezaji, mfanyabiashara au mshirika mwenye nia ya kujifunza zaidi kuhusu fursa hii:

+255 712 920 717
+255 624 083 198

WhatsApp | Simu | SMS
Ukiona unaitiwa kwenye fursa,.....
 
Back
Top Bottom