Dah! Afande Mwita Kaniokoa kwa Waifu

Hahahahaha lol! Chezeya akili ya kiumeni weye! Njemba mmoja Boss mkubwa sana kwenye taasisi moja ya umma ilibidi alazwe Muhimbili kupitia ndugu yake ambaye alikuwa kingunge pale prof nanihii 🙂🙂

Njemba ilikwaa STD mkoani na ilikuwa mkoani kwa mwezi mzima, siku inaondoka mkoani kurudi Dar ikagundua imekwaa gonjwa. Njemba ikajua tu wife lazima atachangamkia dushe baada ya kulikosa kwa mwezi mzima na kugegeda kutamuambukiza mama ngina gonjwa.

Hivyo njemba ikalazwa Muhimbili kwa kisingizio kwamba baada ya kuwasili Airport ikaanza kusikia kihindi hindi cha nguvu hivyo imelazwa ili kuchekiwa vizuri ni kitu gani hasa kimesababisha hali ile kumbe inatibiwa STD!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…