Dah, aisee Warangi wazuri sana

Kweli uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu...! πŸ˜…
 
Hao wamekua na rangi na ushombe huo kwasababu wamezaana sana na wanyaturu na wairaqi.
Ila wenyewe kama wenyewe hawana ushombe hata kidogo.
Wapo kama wamwasi tu.
Wawashukuru wanyaturu wamewachanganyia damu.
Hili nalo jipya...!
 
Hawa WAETHIOPIA MKUU.
Sio warangi hawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Ulipookota picha wamekupiga.
Ndio Maana nikasema kwa niaba ya Michuzi Jr. nimetoa kwenye blog yake alikuwa anawazungumzia warangi akaweka hiyo pic.
 
Dah, ila maraia mna maneno aisee...!

🀣🀣🀣🀣
 
Huyo mwanamke ana wivu kama kachukuliwa bwana aisee. Loh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…