King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wazuri au weupe?Hata sijui nisemeje mnielewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazuri au weupe?Hata sijui nisemeje mnielewe.
Mi ni mtu wa pwani ila sikuwahi kufika huku aisee.Pale mtu wa kanda ya ziwa anapoona rangi nyeupe ina mchanganya 😂😂
Naunga mkono hojaIla ni burudani kwa wote
Nyie tatizo lenu mnapenda sana kukaa milimaniHawafui dafu kwa Wapare!
Labda uliowaona ww ndo wapo hvo ila nliowaona mm ni fayaaaauongo, huwa wana uzuri wa sura na rangi. Viguu kama spok za baiskeli.
Tatizo lako hutembei, mbona weupe wa kawaida huo, jitahid utembelee nchi hii hao bado sanaMi ni mtu wa pwani ila sikuwahi kufika huku aisee.
Hakuna kabila la Wambulu Tanzania. Mbulu ni eneo linalokaliwa na kabila la Iraqw.Wanyaturu & wambulu typing....
Madawa hajamuachaga mtu salama na utakoma hutomuacha daima labda uwe mlokole , usioe wafuatao , wambulu general, warangi , wapare , wachagga hawa kwa uchawi au kuuwa ni rahisi tu na waluguru sasa kajichanganye , hata wadada wote wakigoma acha kabisa hawafai . Huwezi kuishi nao kama nakudanganya muoe mrangi familia yako yote watafukuzwa . Tena wewe mwenye pasipo kujuaNoma sana Wana roho nzuri sana aisee. Nipo Kondoa hapa natamani niendelee kubaki aisee.
Kuna baadhi nna namba zao wameweka profile pics ila sio vizuri kuwaweka mtandaoni wanaweza kuwa Wana watu wao humu ikawaletea shida mkuu. Ila kama hujafika Kondoa panga trip ya huko japo ukatembee tu ufanye utalii wa ndani mkuu. Kuna swala na nyati kiongozi.Weka picha...
Wanaokaaa babati huku sio wazuri kama wanaotokea mbulu, haydom na huku Singida.....ndo maaana nliandika wambuluHakuna kabila la Wambulu Tanzania. Mbulu ni eneo linalokaliwa na kabila la Iraqw.
Anazo ila anadhani tutafaidi.Weka picha...
Mzee hizo mistake zipo siku zote. Kubali kukosolewa. Hakuna watu hapa Tanzania wanaitwa wambulu.Wanaokaaa babati huku sio wazuri kama wanaotokea mbulu, haydom na huku Singida.....ndo maaana nliandika wambulu
Umenielewa we garma😁Kijana