Dah, aisee Warangi wazuri sana

Dah, aisee Warangi wazuri sana

Mpaka ufe hutakaa kumuacha naatakuwa anasimamia mali zenu na pia hatopenda uwe unaleta ndugu zako hapo .
Mjomba wangu mkubwa ameoa mbulu, 1. Amehakikisha mali zao wameendesha nsugu zake.
2. Kafukuza ndugu zote upande wetu .
3. Ushirikina ulionekana hadi anaambiwa na bado haachi amemuweka mume kawa mjinga anakubaliana nayr hata kama leo alikataa kesho anakubali.
4. Wambulu nimefanya nao kazi 3 years hakuna kitu utaniambia wanaushirikina wakujenga sio kubomoa wanaakili sana na wala hujui wamekuweza unajiona sawa tu.

Wanyaturu hawapo kama wambulu wao wakaiwaida tu. Warangi sasa wamewazidi wambulu ni balaa mrangi akimuoa mrangi au mbulu aisee combination ya kutosha .

Wambulu hawajui neno hapana aliwa tu na anakula vizuri tu. Na wanaliwa hadi unasema dah huyu aliyemuoa Mungu amsaidie . Sijui katika afya zao maan mie sio daktari. Nimemaliza
Umekariri maisha hilo ndio tatizo.
External environment ndio inachagiza ukuaji wa tabia za mtu.
Inategemea mtu amekulia wapi ama katika jamii gani.
Mke nilomuoa kakulia sehemu mbili,Salanda Singida kesha akalelewa Tanga.
Asilimia kubwa ya malezi yake ni ya Tanga.
Na nadhani unajua makuzi na malezi ya Tanga yakoje.
-Hivi unajua kuwa ninaishi na mkewangu nyumbani kwa wazazi wangu!?Na mkewangu alikataa tutoke nyumbani na tunaishi home na wazazi na familia nzima kiupendo.
-Familia ya mkewangu ina upendo kiasi inakaribisha hata ndugu zangu wa mbali majumbani kwao wakienda Tanga ama Singida.
Kiufupi makuzi ya Tanga ndio yalomkuza vema mkewangu ni mke mtiifu,msikivu,anapenda ndugu kiasi anatetea hata wadogo zangu wakikosea ama wakinikosea.
Japo cha mwisho sikatai mimi ndio mtoto pekee wa kiume hivyo mamlaka ya nyumba amepewa mkamwana wa familia ambaye ni mkewangu.Nyumba anaendesha yeye ila ni wazazi ndio wametaka.
Maana hata mkewangu wakwanza na wapili walipewa mamlaka hayo hayo ya kuendesha nyumba.
-Hata huyo Mnyaturu mtafute mnyaturu wa ndanindani huko uone balaa lake,ni malaya na washirikina vile vile.
Usikariri maisha hao unaosema unakaa nao mimi naishi nao hadi sasa.

Halafu mimi sio mwepesi hivyo ndugu yangu.
Mie nimeoa makabila magumu huwezi amini.
Mke wa kwanza mchaga mixer mmarangu Machame wa pili mzigua.
Waliroga wao wakashindwa AISEE😂😂😂😂.
 
NAkuaminia bossy
 
Hovyooo ni wewe umeshalipewa limbwaata hujioni na sura mbaya kama manati ya fundi maiko ,unalisura baya ndio maana unawaona warangi wazuri warangi wamekomaa ukiwapiga na mawe hawasikii . Jinsi walivyokomaa
Punguza wivu na makasiriko ulitaka tukusifie wewe wakati huna hata cha kusifiwa shwain...!

🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom