Nenda shivaz wamejaa tele
Kina nani?
Haya mkuu wewe tu.Nenda Shivaz kaka[emoji23][emoji23][emoji23] wewe utatangulia..halafu usikute unasema hivyo Kumbe wewe kiwembe wa chini chini
Thanks cookie
Warembo
Upo Hapo Nini , Unajipigia DebeWarembo
Upo Hapo Nini , Unajipigia Debe
Triple A, Utanuka Jasho tu, Nyomi kubwa, Hadi Parking Za Magari Shida, Nenda Mahali Kama The Dons Kule Njiro, Kokoriko Kule Moshono Na Sehemu Kama hizo, Hutaamini Macho Yako, Ila Usiwe Na Hela Ya MawazoPoa sana ..pia nasikia Bella yupo triple A so naweza pata mdada mmoja mrembo classic ...
Ila am not into prostitutions mana nani anataka to have date na masharti masharti ..
Mi SitumiiNipo. Karibu
hahaha humtakii mema, acha wakamwibie, asisahau warembo wa Arusha ni wababeNenda shivaz wamejaa tele
Okee. Subiri PM za masingleHalafu naona kama watu hawajanielewa sitak prostitute ..nataka mdada tu wa Ku spend nae ambaye yupo single itapendeza zaidi ili akiwa na Mimi atakua free
HayaMi Situmii