Triple A, Utanuka Jasho tu, Nyomi kubwa, Hadi Parking Za Magari Shida, Nenda Mahali Kama The Dons Kule Njiro, Kokoriko Kule Moshono Na Sehemu Kama hizo, Hutaamini Macho Yako, Ila Usiwe Na Hela Ya Mawazo
Kwani usingemchukua Wema SEBEDE au HAMISA MOBEDE kutoka Darasalade mpaka huku kwetu NGALIMI au NGAREROOOO? Njoo Tu print hadi MATEJOO tucheck NJARO na MAFEKECHE mwendo wa NGIRI ARIFU.Nimekuja kutembea kidogo arusha niambieni viwanja gan vizuri ambapo naweza hata ona warembo jamani
Kama wewe mrembo na uko arachuga njoo pm nikuelekeze nilipo tukale bata kidogo. Strictly warembo..
shivaz ni sawa na corner baaKina nani?
Wengi wamepindahahaha humtakii mema, acha wakamwibie, asisahau warembo wa Arusha ni wababe
sio kidogoWengi wamepinda
Watoto, Unapata Huko Huko, Light Skin Za Kutosha, Hawajivhubui, Na Sio Fake , Wanang'aa Kama Wanaogea MaziwaDah shukran mkuu..wewe umenisoma kabisa mkuu..wadau wanadhan natafuta prostitute kumbe wala..mapenzi ya masharti Nanni anataka...wala hamna hela za mawazo hapa mkuu..
Basia anzia shivas ukiweza pia upite pin pointClassic single lady who loves night life ..I mean outdoor ..sjui umenielewa
Kwani usingemchukua Wema SEBEDE au HAMISA MOBEDE kutoka Darasalade mpaka huku kwetu NGALIMI au NGAREROOOO? Njoo Tu print hadi MATEJOO tucheck NJARO na MAFEKECHE mwendo wa NGIRI ARIFU.
Tunasomana wenyewe kwa fasi ya dwasi.Lmao!!!! Kiswahili hiki dooh. Afu huwa tunaewana wenyewe kuanzia mzee hadi mtoto
hahaha... Unaweza kuwa upo sahihi ila pia unaweza kuwa umemtukana mwanamke wa heshima saana.Upo Hapo Nini , Unajipigia Debe
Utani tu Mkuu, Aniwie Radhi Kama Nimemkoseahahaha... Unaweza kuwa upo sahihi ila pia unaweza kuwa umemtukana mwanamke wa heshima saana.
Huyo prostitute na asiye prostitute utawatofautishaje wakija?Halafu naona kama watu hawajanielewa sitak prostitute ..nataka mdada tu wa Ku spend nae ambaye yupo single itapendeza zaidi ili akiwa na Mimi atakua free
Ikiwa hili tangazo lako wanalisoma wote kahaba na asiye kahaba unahisi hawezi kuja kwa mtazamo wa kuwa sio kahaba na usimtambue na pia yakatokea hayo usiyoyapnda mbele ya safriNitawajua tu mbona hua wanajionyesha tu