Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
- Thread starter
- #21
Dah shukran mkuu..wewe umenisoma kabisa mkuu..wadau wanadhan natafuta prostitute kumbe wala..mapenzi ya masharti Nanni anataka...wala hamna hela za mawazo hapa mkuu..
Triple A, Utanuka Jasho tu, Nyomi kubwa, Hadi Parking Za Magari Shida, Nenda Mahali Kama The Dons Kule Njiro, Kokoriko Kule Moshono Na Sehemu Kama hizo, Hutaamini Macho Yako, Ila Usiwe Na Hela Ya Mawazo