MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Angalia idadi ya mechi alizocheza na magoli aliyofunga.no kweli Bocco kaongoza ila sabilo angekuwa Simba inawezekana angemwacha mbali , maana Simba ndio timu inayoongoza kutengeneza nafasi.
Boko Haram angeachwa tu akajiunge Boko veteran ili angalau msajili wachezaji watakaowasaidia kushika nafasi ya tatu.Nazungumzia msimu ulioisha.
Hakuna top score mzawa ambaye amefunga magoli mengi kumzidi Bocco
Katika wazawa Bocco ndio anaongoza amefunga goli 10 na anayemfuatia ni Sixtus Sabilo akiwa na goli 8.
Lakini Sixtus Sabilo ni winga wa kulia sio Striker
Mpaka muda huu hkuna Striker mzawa mwenye namba nzuri uwanjani kumzidi Bocco
Sabilo sio Strikerno kweli Bocco kaongoza ila sabilo angekuwa Simba inawezekana angemwacha mbali , maana Simba ndio timu inayoongoza kutengeneza nafasi.
[emoji23][emoji23]Skudu anamzidi Hersi miaka 25.
Ha ha ha nimecheka sanaSkudu anamzidi Hersi miaka 25.