Dah! Boko anabaki, Mkude anaondoka

Dah! Boko anabaki, Mkude anaondoka

Nazungumzia msimu ulioisha.

Hakuna top score mzawa ambaye amefunga magoli mengi kumzidi Bocco

Katika wazawa Bocco ndio anaongoza amefunga goli 10 na anayemfuatia ni Sixtus Sabilo akiwa na goli 8.

Lakini Sixtus Sabilo ni winga wa kulia sio Striker

Mpaka muda huu hkuna Striker mzawa mwenye namba nzuri uwanjani kumzidi Bocco
Boko Haram angeachwa tu akajiunge Boko veteran ili angalau msajili wachezaji watakaowasaidia kushika nafasi ya tatu.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kwa watu wasiojua ni kwamba hakuna mshambuliaji mzawa anae weza kumzidi john boko na ndio sababu papaa ataendelea sana kuwepo simba kama mchezaji mzawa.

Kwa wasiojua mpira ndio wata beza na kumkejeli boko kwamba Aondoke. Lakini wanashindwa kujua tangu boko Aondoke Pele Azam Hawaja wai kupata mshambuliaji mzawa bora kama papaa boko.

Watanzania tuache dharau. Boko ni Mchezaji mzuri sana ila alikosa mawinga wazuri wakumlisha mipira kama misimu 3 iliyopita.

Tuchunge midomo yetu maana kwa usajili unaoendelea kufanywa John Atarudi kwenye Ubora wake.
 
Back
Top Bottom