balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,841
- 15,673
Ulianza mwaka 2029,au naotaNawasalim wote
Saa 7: 26 AM kila nikiamkaa nashindwa mwili na moyo havina ushirikiano, Nahisi kuzimia macho hayako sawa
Nimechoma account yangu ya dollar 7400 forex usiku wa kuamkia tarehe 20/4/2022.
Nilikuwa nakimbizana kutuma ripoti za VAT return usiku, network ya TRA ilikuwa chini nikaona ngoja nicheze mchezo pendwa forex.Kilichonikuta mpaka leo hiyo VAT return sijatuma bosi anataka ripoti ila sina nguvu wala akili tena
Nilianza forex 2029 kwa hiyo Nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu, nilianza na dollars 800 .
Huwa nawapa moyo wanaochoma account ila mim ingalao ningekuwa nimelipa ada za watoto roho isingeuma hivi.
Najua forex ni betting, maisha kila kitu ni betting, hata wachungaji tunabet Kati ya Mwamposa na Kuhan Mussa yupi atanifaa...ukweli siachi forex ila mnipetipeti ninacwakati mgumu sana kwa mshahara wangu dollar 7400 ni nyingi sana,
Note: Forex ni rahisi sana kwa wale wapya ila ni betting ngumu sana kwa legendary,
Kuamini uchawi Tena..😂Ebu fikiria naanzaje mim kuchoma account na uzee huu?
Au kuna uchawi ulikuwepo usiku ule?
Be blessedPole mwaya
Sasa nilibetije ovyo na kijinga namna ile, bila kigogo cha kuzuia nisikombwe zote?Kuamini uchawi Tena..😂
Njoo nikuliwazeSasa nilibetije ovyo na kijinga namna ile, bila kigogo cha kuzuia nisikombwe zote?
Nimevurugwa ujue....hiyo hela kwangu nyingi sana siwezi kujitapa kwamba sina maumivuNjoo nikuliwaze
Kiokotee hujui navyoumiaUlitaka utoboe halafu uje kuwa mot_speaker hapa! Ahsante Mungu kwa kutupunguzia huyu mmoja
Ha ha ha pole sana, unamwachiaje broker kukukula kirahisi hivyo huku ukijua vita ya Russia na Ukraine bado ipo uwanjani?. Jipange upya.Nawasalim wote
Saa 7: 26 AM kila nikiamkaa nashindwa mwili na moyo havina ushirikiano, Nahisi kuzimia macho hayako sawa
Nimechoma account yangu ya dollar 7400 forex usiku wa kuamkia tarehe 20/4/2022.
Nilikuwa nakimbizana kutuma ripoti za VAT return usiku, network ya TRA ilikuwa chini nikaona ngoja nicheze mchezo pendwa forex.
Kilichonikuta mpaka leo hiyo VAT return sijatuma bosi anataka ripoti ila sina nguvu wala akili tena
Nilianza forex 2029 kwa hiyo Nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu, nilianza na dollars 800 .
Huwa nawapa moyo wanaochoma account ila mim ingalao ningekuwa nimelipa ada za watoto roho isingeuma hivi.
Najua forex ni betting, maisha kila kitu ni betting, hata wachungaji tunabet Kati ya Mwamposa na Kuhan Mussa yupi atanifaa.
Ukweli siachi forex ila mnipetipeti ninacwakati mgumu sana kwa mshahara wangu dollar 7400 ni nyingi sana,
Note: Forex ni rahisi sana kwa wale wapya ila ni betting ngumu sana kwa legendary,
[emoji28]Anampenda Sir Jeff
Itakua typing error jaman[emoji2]2029 mpaka leo una experience ya kutosha, kwenye VAT hapo usiwaze utalipa 225,000 kama penalt
Pole mpz,ajal kazin,jikung'ute mavumbi jigange,life goes on ,pesa zinatafutwa ,next time kuwa mwangalifu usichome Tena accountSinaga tamaa sana forex ndio maana hiyo account haikuwi kwa kadi, huwa natoa dollar 250 tu kwa mwezi kumudu maisha,
Umeliwa kekundu
"miska" ni lugha gani hii na ina maana gani?2029 uko mbele yetu miska saba