Dah! Gospel ikipigwa Bar inanoga sana, sijajua sababu!

Dah! Gospel ikipigwa Bar inanoga sana, sijajua sababu!

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Wakuu,

Ushawahi kwenda Bar? Kuna Live band? Wale jamaa huwa wanapiga Nyimbo za Injili (Gospel) very touching! Achana na Gospel za Kwenye Makanisa ya Manabii!

Gospel ya kwenye Bar ina upako very unique. Hongereni sana waimba Gospel kwenye Mabar MNA sehemu maalum peponi.
 
Aiseeee! Shetani naona amewekeza karne hii balaa. Anyways, mwisho wenu umekaribia sana, hebu ^two-boo-knee^ nyie fito za mafunjo pori.
 
Wakuu,

Ushawahi kwenda Bar? Kuna Live band? Wale jamaa huwa wanapiga Nyimbo za Injili (Gospel) very touching! Achana na Gospel za Kwenye Makanisa ya Manabii!

Gospel ya kwenye Bar ina upako very unique. Hongereni sana waimba Gospel kwenye Mabar MNA sehemu maalum peponi.
Unapokunywa pombe kuna kipindi akili inachangamka sana na kufikiria only positive issues.
Kipindi hichi ni kizuri sana kuacha kumbukumbu ya kimaandishi kwa unachoongea au kufikiria,wanywaji huzungumza only facts.

Hapa ndipo gospel huwa nzuri sana coz facts.

Badae ukilewa utaona Gospel songs hazifai.
 
Nakumbuka kuna siku billz ilipigwa Hakuna Mungu kama wewe Baba. Halafu kichwani nina Savannah zangu 5...hatari utasema ni muimba kwaya ya kijitonyama[emoji23][emoji23][emoji23]
Inakuwa na mguso wa kipekee sana
 
Back
Top Bottom