Nimekutana na scenarios tatu za namna hii kwenye mikoa tofauti.
Mara nyingi inatokeo Ile mida mibovu yaani saa7 usiku kuendelea watu washachangamka, nashindwa kuelewa Nini Huwa inapelekea hii hali kutoka
Nishashuhudia mkoa Fulani huko Kanda ya ziwa, Dj alipiga nyimbo za gospel bar mzima watu...
Habari Ndugu Zangu, Kwanza Nianze Kwa Kuwashukuru Wote Mlionipatia Ushauri Wakati Napitia Hali Ngumu, Hakika Jamii Forums Kuna Watu Wema Sana. MUNGU Awabariki 🙏
Uamuzi Niliouchukua Ni Kwenda Chuo, Hivyo kwasasa Nasoma Diploma in Primary Education Katika Mtaala Mpya huu wa Elimu Na Inshallah...
Ni muda sasa tumepata kuona mabadiliko makubwa sana kwenye nyimbo za dini (gospel) haswa katika upande wa lugha ya kiswahili, Kuna kwaya kadhaa zimepata kuondoka na upepo mkubwa sana ndani ya jamii, Zabron Singer, Shangwe Voices, Agape Gospel Band, pamoja na The Survivors Gospel Choir...
Harris Kapiga
Nimeona Clouds TV ni kitu kama Haris kapiga anaagwa kistaafu kufanya kipindi Cha gospel pale Clouds TV.
Nadhani amepandishwa cheo, kuna na wasanii mbalimbali wa injili wamealikwa akiwemo Christina shusho Na kina Angel Benard.
Kila msanii anapanda jukwaani na kumpa mauwa yake...
Kwa upande Wangu this list is my favourite Kwa nyimbo zilizotoka recently
Judikay - Man of Galilee
Israel Mbonyi - Malengo.
Israel Mbonyi - sikiliza.
Israel Mbonyi - amenisamehe.
AIC chang'ombe choir - elohim
Moses Bliss - You are great
Mercy Vhinwo - You do this one.
habari wadau.
baada ya muimbaji wa gospel maarufu nchini Nigeria Moses Bliss kumchumbia Binti wa kighana mwenye uraia wa uingereza ambaye amejuana nae kupitia mtandao wa instagram mwaka jana. Limeibuka kundi kubwa la wanawake wa ki nigeria mtandaoni wakimlalamikia muimbaji huyo kwa...
Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati.
Wafuatao ni baadhi ya waibaji wa gospel wa kike waliovunja ndoa zao baada ya kupata umaarufu:-
1...
Kucheza tutakavyo ni ruhusa, Ruhusa hii tumepewa kwa kanisa kubariki tukio la Mfalme Daudi alipocheza mpaka nguo zikamdondoka.
Tuwe huru,
Ukichukia mapendekezo haya labda uwe msabato, hakuna kucheza ni kusimama tu
Ukitizama waimbaji wa injili wengi wa kike mfano kina Beatrice Mhone, Bahati Bukuku, Angel Bernard, kina Christina Shusho, kina Flora Mbasha na wengineo wamekuwa katika wimbi la kuolewa na kuachika. Huku sisi wafuasi wao ambao tunawaona kama Role Modal wakituacha solemba tukiduwaa.
Waimba...
Star wa music wa injili afrika mashariki na Kati Rose Muhando amefanya mahojiano na Rabbi TV ya nabii Malisa wa mwanza na kusema marehemu Ruge alimtamkia kuwa wakongwe mlinga nitawanyoosha kwa kuibua vijana wapya mbele ya wasanii wakongwe wote walipokataa kupiga kazi kwenye tamasha la kidunia la...
Ukiachana na wao kushika namba moja katika elimu kwa mikoa yote ya kusini (Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara) huku kwenye gospel wametikisa vilivyo si kwa mikoa ya kusini tu bali ni nchi nzima.
Wachungaji na waimba gospeli wapo utitiri sana lakini hawa ni baadhi yao...
Jioni baada ya kutoka mihangaikoni nimekaa geto, nikitafakari siku yangu imeendaje. Wakati huo wa kutafakari huwa napenda kusikiliza muziki na miziki yangu mara nyingi ni Hip Hop na Reggae ila leo nikaamua nisikilize Gospel.
Dah, siku yangu imeisha vizuri mnoo. Hawa wamehusika kuniburudisha...
Nimetulia mbele ya kioo cha TV nikasema leo nisikilize nyimbo za injili ili kuiandaa ibada ya jumapili. Kama mnavyojua walevi na wapenda starehe huanza kujiandaa siku ya ijumaa hivyo nami nikasema sio vibaya nikafanya kwa upande wangu. Sina tatizo na ulevi ama starehe ya mtu, ni mfano tu...
Akiwa katika Kofia ya Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Fid Q ametolea ufafanuzi suala la kutokuwepo Vipengele vya muziki wa Injini katika Tuzo za Muziki Tanzania TMA akieleza sababu kuu mbili!
1. Aina ya Wadhamini na bidhaa zao ambazo pengine hazifungamani na itikadi za kidini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.