Balozi Polepole aachia album ya gospel na huu ndio wimbo mmoja kati ya hizo

Balozi Polepole aachia album ya gospel na huu ndio wimbo mmoja kati ya hizo

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Balozi Polepole ameandika hivi katika mtandao wa kijamii

Kama sehemu ya kuhamasisha matumizi ya TEHAMA katika zama hizi za Mapinduzi ya Viwanda ya Nne ambayo yanaleta pamoja watu na TEHAMA.

Nimetumia platform tatu za Akili Unde (Artificial Intelligence) za ChatGPT, Deep Seek na Suno kwa kushirikiana na hizo mbili za awali nimeandika mashairi na nikatumia suno kuzalisha muziki wa Injili. Kila wiki nitaachia wimbo mmoja wa injili na ambao Yesu anatajwa kama wote.


View: https://www.threads.com/@hpolepole/post/DJputyzKFo-?xmt=AQF096sKYDI8AagPDEyndxPRmoHBaWnbtkRqyP7n3WXfIA


Msikilizaji

USSR
 
Balozi Polepole ameandika hivi katika mtandao wa kijamii

Kama sehemu ya kuhamasisha matumizi ya TEHAMA katika zama hizi za Mapinduzi ya Viwanda ya Nne ambayo yanaleta pamoja watu na TEHAMA. Nimetumia platform tatu za Akili Unde (Artificial Intelligence) za ChatGPT, Deep Seek na Suno kwa kushirikiana na hizo mbili za awali nimeandika mashairi na nikatumia suno kuzalisha muziki wa Injili. Kila wiki nitaachia wimbo mmoja wa injili na ambao Yesu anatajwa kama wote.


View: https://www.threads.com/@hpolepole/post/DJputyzKFo-?xmt=AQF096sKYDI8AagPDEyndxPRmoHBaWnbtkRqyP7n3WXfIA


Msikilizaji

USSR

Kawa munisi na wimbo malebo!
 
Watu tunamsema Yuda vibaya,alimsaliti Yesu kwa Fedha,wakati nasi tumo mulemule,ndio huyu harakaharaka!
 
Mpango wake wa dawa ya kuuwa
Mmbu imefikia wapi

Ova
 
Back
Top Bottom