Hakuna uongozi bora... ni bora uongozimambo ya ajabu sana kwenye hii Nchi yote ni kwa sababu uongozi bora hakuna
Ukiangalia kiundani.Heeee kumbe sio wasanii wabongofleva tu bali hata wasanii wa injili nao wamesusiwa? Wasanii kazi wanayo safari hii
KONDOO atalengeshwa kwenye luninga tena..Ukiangalia kiundani.
Siyo suala la wasanii tu.
Kiujumla Nchi ni kama Imesimama.
Kuna fear of unknown Kwa Kila Mtu, hata Viongozi wanayo hii..
Heeee kumbe sio wasanii wabongofleva tu bali hata wasanii wa injili nao wamesusiwa? Wasanii kazi wanayo safari hii
Sintofahamu ni kubwa sana. Ni kama vile nchi ipo ipo tu. Binafsi kuna biashara yangu nataka nifungue lakini imenilazimu nisubiri kwanza kuangalia upepo. Ile point ya political instability nilikua naielezea kinadharia kwenye history enzi zs olevel sasa hivi ndio naielewa kivitendoUkiangalia kiundani.
Siyo suala la wasanii tu.
Kiujumla Nchi ni kama Imesimama.
Kuna fear of unknown Kwa Kila Mtu, hata Viongozi wanayo hii..
😀😀😀 Motivesheno spika aliwaamasisha vijana kujiajiri halafu yeye kaomba ajira na kapata. Hata vitabu vyake vya ujasiliamali siku hizi havitangazi.Hivi Waziri wa Vijana bado anaendelea kukutana na Vijana wa Kitanzania? 😁
Pale kwa mwamposa tupageuze kuwa centre ya maandamano kila wanapokutanika wafuasi wake kinuke ....mwamposa ni mmoja wapo wa washenzi wakubwa sana tanzania anatumiwa na waarabu kuwapumbaza wakristo .Heeee kumbe sio wasanii wabongofleva tu bali hata wasanii wa injili nao wamesusiwa? Wasanii kazi wanayo safari hii
Upo sahihi wasiwasi ndio AKILISintofahamu ni kubwa sana. Ni kama vile nchi ipo ipo tu. Binafsi kuna biashara yangu nataka nifungue lakini imenilazimu nisubiri kwanza kuangalia upepo. Ile point ya political instability nilikua naielezea kinadharia kwenye history enzi zs olevel sasa hivi ndio naielewa kivitendo
😂😂😂😂Hivi Waziri wa Vijana bado anaendelea kukutana na Vijana wa Kitanzania? 😁
Usicheke Mlongo nipo siriazi ujue 😂😂😂😂😂