Wakuu,
Ushawahi kwenda Bar? Kuna Live band? Wale jamaa huwa wanapiga Nyimbo za Injili (Gospel) very touching! Achana na Gospel za Kwenye Makanisa ya Manabii!
Gospel ya kwenye Bar ina upako very unique. Hongereni sana waimba Gospel kwenye Mabar MNA sehemu maalum peponi.
Let's share gospel tunazozipenda haijalishi upo katika mlengo upi,music ni lugha tamu sana kila mmoja na anavyoielewa..
Binafsi nyingi ya nyimbo za kwaya nazozipenda ni zile za kitambo.. nisiweke maneno mengi tuanze hivi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.